Recent content by sephania mwakasege

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Hawa wanaouwa sio Watanzania, ndio maana miili inapookotwa wananchi hawashtuki

    "Amesema haiwezi watu wakawa wanauawa hovyo na kukawa shwari kama kulivyo, watu wangepiga kelele kwa sauti" Kweli kabisa....maana yako ipo hapa ndugu kiongozi....ushwari huu nawe unaushangaa ila kwa nafasi yako huwezi kuwaambia wafanye nini. Kazi kwetu wabongo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere angepata urais 2015 ingekuwaje?

    Ungegundua kuwa nilichopata ni baada ya kutafakari maoni mbalimbali yanayotolewa na watu hivyo, nimepata maarifa kuwa wapo wapiga kelele kwa maoni yao na watoa maarifa kwa maoni yako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere angepata urais 2015 ingekuwaje?

    Mjadala huu umenifundisha kuwa kuna mtu anasoma apate maarifa, kuna watu wasoma wapate umbeya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya: NMB kwa robo ya tatu mapato yameshuka kwa 57% kulinganisha na mwaka jana

    Shule nzuri sana hapa. Barikiwa ndugu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

    "Cash and classified information".......Mimi naanzia hapa hapa....somebody involved wanted not the mission to successed Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi Mpanda

    Komaa mshua Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Nikumbuke kwenye sehemu ya tano ndugu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Good
  9. S

    JamiiForums Tanzania It's just a Matter of time: Tumshauri Kujitafakari And Do The Right Thing or Live And Let Die?

    Tuhuma za uongo zinawezaje kumliza mtu?! Kulia kunavuta huruma tu lkn pia kunatoa maana nyingine kuwa umezidiwa (na hali inayoendelea ndani ya nafsi) wakati njia ya kuishinda hali hiyo ilikuwa ni kufunua ukweli ili nafsi ipate wepesi. Lkn kwa hili linavyoendelea litazaa vilio kila siku na tatizo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Dah! Yaani hujaeleweka na wote hawa! Jamani wandugu maana yote ya Pascal ipo hapa: "....jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa 'tell the truth and the truth will set you free' ni msemo wa uongo". Maana yake ni kinyume kabisa na kumsihi eti aendelee kuwa kimya kwani mayalla anamuonya kuwa kwa kuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa Barnaba akiwa na mume mwingine

    Hongera Barnaba. Time yako radio mawingu ume win na kuonyesha maisha ya ukweli na sio haya ya maigizo. Wanaoijadili picha waache waijadili weee but you're the overcomer. A good man stand with his family at any cost.
  12. S

    JamiiForums Tanzania KIPANYA LEO: Msaada kwenye tuta!

    Nihisi ni ile ya kuzika juu ya makaburi mengine ndio anamaanisha kuwa tai anakuja kujiokotea mizoga ktk hayo makaburi. Ila kwann ni misalaba (makaburi ya wakristo? ) hapo sina jibu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

    Jamani hivi ni kweli kuwa wanaongea ki-tiss tiss?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dhana ya panga pangua! Ni udhaifu kwenye uteuzi

    Huenda hatusikilizani
Back
Top Bottom