ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,858
Kwani tunapopeleka majeshi ya amani nchi jirani huwa tunakwenda kuwalinda nani kama vifo vya jirani zetu wasio na hatia havituhusu
Tangu apewe hiyo wizara naona upeo wake unazidi kudidimia kila kukicha.
Kwa hiyo anataka tuandamane ndio ajue kuwa tunaumizwa na miili inayootwa ufukweni kila kukicha?
Waziri Mwigulu Nchemba amesema yapo matukio yanayofanyika kwa ajili ya kuchafua taswira ya nchi na ndio maana dot zinazounganishwa ni nyingi mno
Amesema inapotokea miili inaokotwa baharini, bahari ambayo tunachangia na nchi nyingi sana ambayo upepo unaweza kusafirisha miili kutoka sehemu mbali, basi watu wanasema watu wanauawa ovyo
Amesema haiwezi watu wakawa wanauawa hovyo na kukawa shwari kama kulivyo, watu wangepiga kelele kwa sauti
Ameendelea kusema kila tukio linapotokea serikali inachukua hatua na maisha ya watu yanapopotea sio vyema kuhusisha siasa, maana maisha yana thamani sana

Waache waendelee kuzembea badala ya kukomesha hiyo hali, ipo siku tutawapigia hizo kelele wanazozitaka, hakuna askari wala risasi itakayoweza kunyamazisha kelele hizo.Maandamano yenyewe yamepigwa marufuku. Sijui hizo kelele mtazipigaje?
Ulitaka ajibu upendavyo wewe?, acha ujinga ,ni kweli kwani hatuchangii bahari,?,maiti haziwezi safirishwa na maji toka sehemu moja kwenda nyingine?Hapa ndipo napoaanza kuushangaa uzalendo wa viongozi wetu, hapa ndipo naposhangaa uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu, waziri unajibu hoja ya mauaji as if ni hoja kuchapwa mtoto shule, majibu myepesi kama mtoto wa form two,
mkipiga kelele wazi wazi wanakuita mchochezi wanakupa kesi.kanichosha sana mie sijui anataka kelele gan
, mkipiga kelele wazi wazi wanakuita mchochezi wanakupa kesi.
Waziri empty set kabisa...eti miili inaletwa na upepo, seriously!!!
Swali la kumuuliza hili hapa.
Hiyo bahari iliaanza kuwepo baada ya utawala huu au ilikuwepo toka enzi zote? iweje sasa hivi miili iwe inaokotwa kila uchwao?
Nini kimeongezeka ni upepo unaenda kasi ya ksulisuli? tunauliza samaki papa na nyangumi wanakuwa wapi mpk wasubiri miili ije ilundikwe COCO beach.....
Mungu anakuona Nchemba
Ulitaka ajibu upendavyo wewe?, acha ujinga ,ni kweli kwani hatuchangii bahari,?,maiti haziwezi safirishwa na maji toka sehemu moja kwenda nyingine?
Acheni kuharibu taswira ya nchi, pambaneni kisera nyie
Hapa ndipo napoaanza kuushangaa uzalendo wa viongozi wetu, hapa ndipo naposhangaa uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu, waziri unajibu hoja ya mauaji as if ni hoja kuchapwa mtoto shule, majibu myepesi kama mtoto wa form two,
Huyu naye ndo mwenye ushahidi atautoa hats mbinguniWaache waendelee kuzembea badala ya kukomesha hiyo hali, ipo siku tutawapigia hizo kelele wanazozitaka, hakuna askari wala risasi itakayoweza kunyamazisha kelele hizo.
Wasiombe tukafikia kikomo cha uvumilivu.....