Recent content by Senee

  1. Senee

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Ommy Dimpoz hana mpenzi au mnamsingizia tu?

    Mdangaji karudi kwao , akipata sponsor anaanza kutusumbua na mapicha ka vile kahama nchi
  2. Senee

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuotesha nywele(kipara)

    Kitunguu maji
  3. Senee

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kuwa wanene au vibonge, tukutane hapa

    Mi napenda kula jamani, mazoezi siwezi [emoji23]
  4. Senee

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

    Mi nakulaga Saa 12 Uji Saa 4 Juice/Matunda Saa 7 ndizi vilizochemshwa na mbogamboga Saa 10 Uji Saa2 ndizi na mbogamboga
  5. Senee

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Embe + parachichi + Passion Tikiti maji + Ubuyu
  6. Senee

    JamiiForums Tanzania Wadau msaada unahitajika

    Wanandoa wengi mnajisahau na kuanza kuishi kwa mazoea, kama you are always on the phone hata mimi ningekupekua simu yako kila nipatapo muda May be she just need your attention. . Mpe muda wako zaidi urudipo nyumban, trust me she wont hv tym kukimbizana na hiyo simu
  7. Senee

    JamiiForums Tanzania Naomba feedback kwa aliewahi kutumia mafuta ya vaida

    Mazuri sana yanafanya nywele zinakuwa nyeusi Pia zinasaidia sana kwa wanaosumbuliwa na mba, Ila tatizo lake ni kuchafua mto ukilala
  8. Senee

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kupenda tunapopendwa

    Some people claim they love you but dont wanna show it. . All they do is making you feel insecure, inferior and not trustworthy so that you can spend alot of time proving your love to them, while they do nothing
  9. Senee

    JamiiForums Tanzania Wahenga nahitaji mawazo, kutokuwa na hamu ya kuwasiliana na mpenzi niliyeachana nae

    Kwa nini uwasiliane nae wakati mmeachana? Labda kama anakupa madili ya pesa
  10. Senee

    JamiiForums Tanzania Zamu yetu wanawake waume zetu hawajazaliwa

    Sihitaji
  11. Senee

    JamiiForums Tanzania Kuchokonoa pua mbele za watu ni tabia inayochefua

    [emoji16][emoji16][emoji16]
  12. Senee

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

    Mfyuuu hata bao moja kwa siku likushinde, Wiki nzima ziiiii wewe n kikoroma tu
  13. Senee

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa nywele za asili

    My dear ukiweka dawa lazima new growth itokee, kwa hiyo itakulazimu uweke tena dawa Ila kama hutaki nywele za dawa siku hizi kuna products nzuri za natural hair, try za cantu ila za auntie jackie naona zipo cheaper kidogo
  14. Senee

    JamiiForums Tanzania Mpaka msitishe hili ndo tatizo la nguvu za kiume litaisha

    Yan hapo disqualification ushapata. . Wewe inayojikunja kama bubble gum doh
Back
Top Bottom