Recent content by Sendliver mzee

  1. S

    Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

    Kama wote mnaokoment huku mna kazi. Hizi changamoto za ajira zinatoka wapi. Au ndo mnataka tu kumpa presha Mama wa watu😂
  2. S

    Nauza vifaa vya laptop tablets na desktop kwa bei ya jumla

    Batery ya hp yenye working hours 60 ni bei gani
  3. S

    Simba wajifunze mbinu za kuifunga al ahly tripoli kwa biashara united

    Wewe nawe ni wale wale utoporo msokuwa na akili. Sasa usajili wa hiyo timu wakati wanacheza na Biashara ndo huo huo wa sasa? Msimu huu wana usajili wa bilioni 10 na simba wana wa 7 bilioni. Kweli utoporo hamna akili
  4. S

    Yamenikuta: Nilifunga ndoa ya kanisani kimya kimya bila mke wangu kujua

    Story umeibeba kutoka page ya facebook ya #Iddi_makengo
  5. S

    Tabia ya kutembeza wageni kwenye nyumba mpya!

    Umefundishwa jinsi ya kuwa na personal hygiene. Inaonesha wewe ni mchafu, chumba hudeki, kitanda hutandiki, miswaki unaacha bafuni😂
  6. S

    SoC04 Jinsi Tanzania tuitakayo itakavyotumia teknolojia kuondoa changamoto ya utapeli kwa wateja/wafanyabiashara wanaotumia mitandao kufanya biashara

    Katika karne tuliopo, teknolojia inatumika kwa kiwango kikubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya biashara. Teknolojia imekuza sekta hii kwa kutoa huduma kwa haraka, ufanisi na kwa gharama nafuu. Pamoja na faida lukuki za teknolojia katika nchi yetu, katika upande wa kibiashara, sekta hii...
  7. S

    SoC02 Elimu kwa wazazi/walezi juu ya malezi yenye ulinzi na usalama kwa watoto

    Ulinzi na usalama kwa watoto ni jambo ambalo jamii yetu ya sasa hailichukulii kwa uzito mkubwa licha ya kusikia katika vyombo vya habari, asasi za kutetea haki za watoto pamoja na kushuhudia wenyewe katika jamii zetu jinsi ulinzi na usalama kwa watoto ulivyo mdogo katika kizazi chetu cha sasa...
Back
Top Bottom