MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Kuwahi au kuchelewa kuongea kwa mtoto wala sio ugonjwa!inategemaea na mtoto wako unamlinganisha na mtoto wa yupi?au inategemea na unataka mtoto wako aongee nn kwa umri gan!so kila mtoto anadevelopment milestone yake so itategemea na unamlinganisha na yupi ili useme kachelewa kuongea au kawahi so nadhani ideal kubwa hapo ni kila mtoto na development milestone yake.
 
naomba kuuliza,mtoto alizaliwa na kilo 3 na point 2,kliniki yake ya kwanza akawa na kilo 5 point 3,na kliniki yake ya pili akawa na kilo 8 point 2,je kwa ongezeko ilo la kilo 2 ndani ya mwezi na ongezeko la kilo 3 mwezi unaofuata ni sawa mtoto kwa sasaivi ana miezi miwili na nusu
Mbona kwa.mtoto hilo sio tatzo kwa.sababu mtoto anapozaliwa uzito wake huongezeka mara mbili ya aliozaliwa nao baada ya miez mitatu na mara tatu ya uzto aliozaliwa nao baada ya miez 6 so ni kawaida, na next time zitakaposhindwa kuongezeka au kushuka utuambie sawa.
 
Back
Top Bottom