uhuru ndo wameandika ufinyu kabisaa maana katika uhuru si habari inayoongoza yani 'leading story" ni habari ya pili maana yake ni kwamba haijapewa uzito.suala kama hili linalomuhusu kiongozi wa tasnia ya habari kama Kibanda lingetakiwa leo liwe ni lead story kwa magazeti yote.
ndipo tulipofika katika demokrasia ya afrika wanasiasa wanatumia nguvu kubwa ya pesa kuingia madarakani wakifanikiwa kuingia ikulu wanarudisha pesa zao ni kama aina nyingine ya biashara.
messi ancheza kama wachezaji wa play station,maneno yaliyotamkwa na arsene wenger,fabio carpelo amekiri kuwa ye ni shabiki namba moja wa messi,messi anawekwa kundi la malijendari maradona na pele,messi anacheza dunia ya peke yake.sio maneno yangu mm ni wadau tofauti tofauti huko mbele.acheni...
usanii mtupu hamna digitali wala nini ni mfumo wa tu wa malipo kwa matangazo ya televisheni umebadilika ila katika ubora wa picha na sauti mambo ni yaleyale,tcra wametufanyia usanii tu.
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
"katika mwanga uliojaa duniani bado kuna watu wanaoishi gizani" mabadiliko ya sura ccm siku zote hawayaoni watu kila siku mpaka msubiri kina lwaitama maoni yao ndo myakosoe.
bravoo! umeonyesha moyo wa kipiganaji sasa ni kazi ya viongozi kusikiliza mawazo ya wanachama na wafuasai kama hawa wasiachwe wakakata tamaa,wapewe nguvu.
there is no way out to look for an enemy but we have to turn back and starts rather than go to know where,let us begining to cuer primary problem and that is culture accompanied by relevant education and also faith(with the exception of christianity and muslims) once we reach there,the secondary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.