Magazeti ya Uhuru, HabariLeo, Daily News na suala la Absalom Kibanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magazeti ya Uhuru, HabariLeo, Daily News na suala la Absalom Kibanda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KALOKAZA, Mar 7, 2013.

  1. K

    KALOKAZA Member

    #1
    Mar 7, 2013
    Joined: Jan 3, 2013
    Messages: 95
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 15
    Nimefuatilia magazeti mengi ya Tanzania asubuhi, mengi yametawaliwa kwa ukubwa kuandika sakata la Kutekwa, kupigwa, kujeruhiwa vibaya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda.

    Suala hilo limeripotiwa kwa mistari midogo sana katika Gazeti la Serikali, Daily News, kuripotiwa kwa lugha laini katika gazeti la Habari leo, na kupewa nafasi ndogo sana kwenye gazeti la Uhuru.

    Ningekuwa Mwandishi au Mhariri ndio leo ningewalima barua hii mijamaa.

    Sualala Mhariri kujeruhiwa vile hawajaliona? Au wahariri wake sio sehemu ya jukwaa la wahariri?

    Ndio maana hawa waliandika kuwa MWANAHALISI LIMEFUNGIWA KWAKUANDIKA HABARI ZA UCHOCHEZI WA KIJESHI, JAPOKUWA ILIKUWA NI UONGO, NA JUKWAA LA WAHARIRI LILIWANYAMAZIA, UBAGUZI HUU WA KIMAWAZO NDANI YA JUKWAA LA WAHARIRI KUTOKUWA PAMOJA KWA MASUALA YANAYOWAHUSU NDIO HUSABABISHA WENGINE WATUMIKE KUANDIKA UONGO.

    UHURU, HABARI LEO, DAILY NEWS WALAANIWE KABISA.

    IFIKE MAHALI JUKWAA LA WAHARIRI MUWE HURU MUACHE KUTUMIKA KISIASA, WANAOUA MWANDISHI WA MTANZANIA LEO, KESHO WATAHAMIA GAZETI JINGINE, KUWENI NA UMOJA. MAMBO MENGINE AIBU SANA!
     
  2. Amiliki

    Amiliki JF-Expert Member

    #2
    Mar 7, 2013
    Joined: May 6, 2011
    Messages: 2,086
    Likes Received: 23
    Trophy Points: 135
    Kama wao ni sehemu ya waliohusika unadhani wanapenda sana hiyo kitu iwe bado inaendelea kusikika?
     
  3. S

    Sumu JF-Expert Member

    #3
    Mar 7, 2013
    Joined: Nov 5, 2010
    Messages: 6,365
    Likes Received: 3,461
    Trophy Points: 280
    Ulitaka waandikaje ili uelewe kwamba hawatumiki kisiasa?

    Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
     
  4. G

    GHULA Member

    #4
    Mar 7, 2013
    Joined: Mar 3, 2013
    Messages: 77
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Mwananchi, wameandika summary vizuri sana, Tanzania Daima wameweka kama Ulimboka, Majira halikadhalika, Nipashe na The guardian, Mtanzania na Rai. Sijui labda huko Uhuru, Daily News na Habari leo pengine hawakusikia sana, au waandishi wao hawakufika eneo la tukio, hivyo wameshindwa kuandika kwa undani sana, au pengine kwao sio stori msiwalazimishe.
     
  5. s

    sendisha Member

    #5
    Mar 7, 2013
    Joined: Oct 11, 2012
    Messages: 26
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    uhuru ndo wameandika ufinyu kabisaa maana katika uhuru si habari inayoongoza yani 'leading story" ni habari ya pili maana yake ni kwamba haijapewa uzito.suala kama hili linalomuhusu kiongozi wa tasnia ya habari kama Kibanda lingetakiwa leo liwe ni lead story kwa magazeti yote.
     
  6. D

    DURACEF JF-Expert Member

    #6
    Mar 7, 2013
    Joined: Apr 20, 2011
    Messages: 275
    Likes Received: 81
    Trophy Points: 45
    Ndio maana chanzo changu cha habari ni JF hapa ni zaidi ya hayo magazeti uchwara na waandishi na wahariri wao uchwara ,kamwe mtu kama mimi siwezi kupoteza muda na fedha kununua hayo magazeti isitoshe wengi wao ndio waliofeli vibaya hivyo hawana budi kutumikia mitumbo yao,pole zao kwa kweli.
     
  7. D

    DURACEF JF-Expert Member

    #7
    Mar 7, 2013
    Joined: Apr 20, 2011
    Messages: 275
    Likes Received: 81
    Trophy Points: 45
    Bora unyimwe vyote upewe akili,kama zimetimia utajua tu,hawa wanafaamika
     
  8. O

    Otorong'ong'o JF-Expert Member

    #8
    Mar 7, 2013
    Joined: Aug 17, 2011
    Messages: 32,028
    Likes Received: 11,485
    Trophy Points: 280
    Yani mwizi ajishike mwenyewe...
     
  9. Mentee

    Mentee Senior Member

    #9
    Mar 7, 2013
    Joined: Jul 14, 2010
    Messages: 142
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 35
    Hivi bado tu mnawaamini waandishi wa habari? Kuna habqri zilipelekwa kwenye magazeti kadhaa kuhusu tuhuma za wizi na ufujaji wa fedha za walipa kodi lakini wahariri wa magazeti hayo waliitwa na mtuhumiwa na kupewa mshiko kila mtu. Hiyo habari ikafa. Actuqlly, na baadhi ya Wabunge pia wanafanya kama wafanyavyo wahariri na waandishi wa habari. Sijui sie walalahoi tusemee wapi!!!!
     
  10. NAPITA

    NAPITA JF-Expert Member

    #10
    Mar 7, 2013
    Joined: Apr 2, 2012
    Messages: 5,077
    Likes Received: 189
    Trophy Points: 160
    kwa kuongezea tu hata TBC PIA
     
  11. Lizaboni

    Lizaboni JF-Expert Member

    #11
    Mar 7, 2013
    Joined: Feb 21, 2013
    Messages: 33,793
    Likes Received: 13,797
    Trophy Points: 280
    Ugomvi wa ndugu usiungilie. hiyo ni vita ya KIBANDA na mwajiri wake wa zamani(TANZANIA DAIMA)
     
  12. Kimori

    Kimori JF-Expert Member

    #12
    Mar 7, 2013
    Joined: May 26, 2008
    Messages: 216
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Kwa hili wanahabari wote walitakiwa kuwa pamoja bila kujali waajiri wo ni binafsi au ni serikali.
     
  13. Lizaboni

    Lizaboni JF-Expert Member

    #13
    Mar 7, 2013
    Joined: Feb 21, 2013
    Messages: 33,793
    Likes Received: 13,797
    Trophy Points: 280
    Msije mkatafuta mchawi kwa nini mnakonda.
     
  14. Lizaboni

    Lizaboni JF-Expert Member

    #14
    Mar 7, 2013
    Joined: Feb 21, 2013
    Messages: 33,793
    Likes Received: 13,797
    Trophy Points: 280

    Mleta mada kasema hayo magazeti ya uhuru , mzalendo na Daily news yameongelea kidogo sana, mbona hata hicho kidogo hajakiweka ndipo tuchangie mada? tunapotezeana muda kwa majungu kweli.
     
  15. l

    lufungulo k JF-Expert Member

    #15
    Mar 7, 2013
    Joined: Apr 19, 2012
    Messages: 1,430
    Likes Received: 587
    Trophy Points: 280
    Uandishi wa kulipuka ,yaani hata kama huna habari kwa kina basi uandike tu uzushi kichwa cha habari kikubwaaaaa ili uwaibie wananchi fedha zao, ama kweli tumezoewa vichwa vya habari vya namna hii' RAIS AZOMEWA , AMCHAPA MTU KIBAO HADHARANI' ukinunua kwa shauku unakuta kumbe ni rais wa PST [shirikisho la masumbwi] tunabakia kucheka na kusema waaandishi bwana wajanja saaaaaana.
     
  16. Andindilile

    Andindilile JF-Expert Member

    #16
    Mar 7, 2013
    Joined: Dec 22, 2012
    Messages: 289
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Wamwandike vibaya bosi wao..!??
     
  17. Lizaboni

    Lizaboni JF-Expert Member

    #17
    Mar 7, 2013
    Joined: Feb 21, 2013
    Messages: 33,793
    Likes Received: 13,797
    Trophy Points: 280
    hahahahaaaa, MNYIKA amweka kitanzini MAKINDA NA NDUGAI ukiingia ndani , katoa namba zao za simu ili watukanwe kazi kweli kweli.
     
  18. hekimatele

    hekimatele JF-Expert Member

    #18
    Mar 7, 2013
    Joined: May 31, 2011
    Messages: 9,500
    Likes Received: 240
    Trophy Points: 160
    kaka kumbuka hivi vyombo vya habari siku hizi vingi vinamilikiwa na makampuni ama watu binafsi. Hivyo basi wahariri wake wengi wana mitazamo tofauti tofauti. Wengi wao wako kimaslahi zaidi kwa maana ya faida kipesa kuliko kutoa huduma ya habari kwa jamii. Vyombo vya habari vya serikali vinakingana sana na ukweli na nia yao ni kueneza propaganda za chama tawala. Hili suala la Kibanda ukiliangalia kwa undani lina usiasa ndani yake.
    Ukielewa vema siasa za Tanzania hutakaa upate nazo tabu.
    Pole sana kaka
     
  19. Jodari

    Jodari Senior Member

    #19
    Mar 7, 2013
    Joined: Mar 2, 2013
    Messages: 121
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Kichwa ha habari ilikua waweke kwa ufupi tuu yangesomeka vizuri "UGaidi mkubwa watokea kwa muandishi Tz" tukio kama hili hatuwezi kusema ni ujambazi, au ndugu waandishi kwakua halikutokea znz munalifunika? hawa waandishi hususaniwa magazeti ndio fitna wakubwa wa nchi hii, ilitakiWa hata huko south asifika amalizwe tuu ili tuishi kwaamani.
     
  20. A

    Atongwele JF-Expert Member

    #20
    Mar 7, 2013
    Joined: Feb 22, 2013
    Messages: 2,471
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 0
    waandishi wa kitanzania bwana!
     
Loading...