Recent content by senator_RK

  1. senator_RK

    Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

    Wale shida zao ni lack of civilization na power struggle kwa kuwa ndani ya Tanzania hayo matatzo mawili yote yangekuwa solved at once kwa kuwafanya wawe civilized kwa kuachana na mambo ya ukabila na kujichanganya na zaid ya makabila 120 kama tulivyo sisi Tz kwa sasa pili kuhusu power struggle...
  2. senator_RK

    Rest in peace Juve'nal Habriymana 1937-1994 (kumbukumbu zangu)

    Tanzania tulifanya kosa kubwa saana kuacha kuzichukua Rwanda na Burundi after independence ili kuirudhisha mipaka yetu ya awali (Germany east Africa) ilyokuwa no tanganyika rwanda na burundi ambapo baada ya vita vya kwanza vya dunia Tanganyika alipewa Muingereza na Rwanda na burundi akapewa...
  3. senator_RK

    Kwa niliyoyaona Burundi, itoshe kusema Tanzania ni nchi tajiri sana

    Kusema Kinshasa ni zaid ya dar ni either huijui dar au huijui Kinshasa. kilichokuchanganya ni hyo inaitwa Gombe avenue,Kinshasa ni mji mkubwa saana na kuna watu wengi saana ila kimaendeleo haipasogelei dar hata kidogo,umeme tu ni mtihani mji mzima umejaa majenereta kama Lagos,watu ni masikin...
  4. senator_RK

    Natafuta dalali wa mazao Tabora

    Nipe mawasiliano yako mkuu tufanye biashara
  5. senator_RK

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wakenya hii challenge mnaiweza???
  6. senator_RK

    ONYO: Usimfungulie biashara mwanamke uliye na ndoa/mahusiano naye

    Mzee hii comment iwekewe lamination umeongea kitu kikubwa mno.
  7. senator_RK

    Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

    Vip swala la lugha kwa zambia, je kiswahili kipo au kiingereza kila mtu anakijua?
  8. senator_RK

    DAR iko overrated, Majority ya watu wanaishi maisha ya ovyo sana

    Mimi naiweka vizur,hakuna jiji au mji wenye maisha mazuri hapa Afrika mashariki na kati na nchi zote zilizotuzunguka kuzid dar es salaam.
  9. senator_RK

    Mapendekezo ya 'Ruti' mpya Dar

    1.Watu wa bunju vita yenu kwa sasa haipaswi kuwa daladala za bunju-kariakoo/kivukoni bali vita na mapambano yenu kwa sasa yanapaswa kuhakikisha miundombinu ya mwendokasi inafika hadi bunju mwisho badala ya ilivyopangwa sasa kuishia tegeta hii ndio solution ya kudumu maana very soon,hizo route...
  10. senator_RK

    Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

    Kitu watu wasichojua ni kuwa kati 10 most worst slums in afrika 4 are in Nairobi,kwa afrika mashariki Nairobi ndo mji wenye street children and omba omba wengi kuliko mji wowote ule hadi hii leo 2023 Nairobi bado kuna nyumba nyingi tu za tope,hapo sijazungumzia usafi Kwa majiji yaliyotuzunguka...
  11. senator_RK

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna nini kipya hadi kozi imeongezwa muda kufikia mwaka mmoja? Ni darasa zaid au field training ndo imeongezwa maana tpdf RTS+Level 3 it's around 8 months polisi Kuna nini cha ziada hadi kuwa mwaka mzima???
  12. senator_RK

    Itoshe kusema Simba na Yanga ni wadini hasa?

    Hata haya matimu ya ulaya nayo yana udini saana hayakupost kwaresma ila yamepost Ramadhani.
  13. senator_RK

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wenye bahat zenu mkaangalie majina yenu huku.
  14. senator_RK

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi wakuu kozi za mambo ya ndani mfano kama vile kozi ya polisi nazo huwa na mkesha six weeks?
  15. senator_RK

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Ni sifa zipi mtu anatakiwa kuwa nazo ili kuwa dalali wa soko la hisa?
Back
Top Bottom