Recent content by sempa101

  1. S

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Nchi hii inahitaji kusoma sana hao wasomi wenyewe hawana lolote wanalolifanya
  2. S

    Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    Wabongo bwana kila kitu mwekezaji yaani mpaka vichwa vyao vinahitaji mwekezaji yaani tayari washasahau kuwa el kalihujumu taifa lao kwakiasi kikubwa,leo watu wanampigia debe aende magogoni .
  3. S

    Wajumbe kumkomoa JK, kumpa ulaji Magufuli

    Team ya el imekufa kifala yaani bize yao yote for nothing
  4. S

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    Watapata hao hao wataleta majina ya mbandia tu,nchi kwa kughushi wanaweza sana
  5. S

    Nigeria yaua waandamanaji zaidi ya 20 kwenye maandamano ya amani ya siku ya Quds

    Mkuu wasilamu hawana thamani hapa duniani,hii dunia ya wagalatia na free mason tu,ndiyo maana wakiuwawa utasikia kila chimbo cha habari hapa ulimwenguni.
  6. S

    Wanawake wamewazidi wanaume kwa mambo haya?

    Hawapendani wao kwa wao,wambea,wazandiq
  7. S

    Maandamano barabara ya Kawawa

    Mods kila nikiweka coment yangu inafutwa vip?
  8. S

    Kwa wazoefu wa Ujenzi ipi Cement bora kati ya Rhino,Tembo na Twiga Cement?

    Cement zote ni portland cement zinafaa kwa ujenzi wa majengo hapa tanganyika
  9. S

    CCM wanamuogopa Dr Shein.

    Wewe unalopoka tu huna ushahidi wowote,story za masikani za gongo hizo
  10. S

    Basi la 5Alliance lawaka moto

    Ajali hiyo imetokea maeneo gani?
  11. S

    Tengeni Maeneo maalum kwa ajili ya kujenga Misikiti

    Unajuwa wakristo siku zote wachokozi watu waliyo ishiwa hoja za msingi,watu wa kulopoka tu
  12. S

    Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Magharibi abwaga manyanga, ajiunga ACT

    Ndiyo nyumba inaanguka hiyo bado kanda ya kaskazini
  13. S

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Anae faa kuwa raisi wa nchi kwa sasa ni profesor lipumba tu,vigezo anavyo na kutokana na uchumi wa nchi ulivyo kwa sasa,na deni la taifa lilivyopanda tunahitaji mchumi kurekebisha hali hii haraka iwezekanazo
  14. S

    viwanja vikindu Mkuranga

    Vimepimwa na serikali au squeter area?
Back
Top Bottom