Recent content by Semindu Cooperate

  1. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi sio rafiki kwa uombaji wa ajira wenye taaluma tofauti

    Ni hawasikilizi kabisa hawa jamaa na mfumo wameuzuia simu hawapokei
  2. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa maombi ya ajira wa Utumishi sio rafiki kwa uombaji wa ajira wenye taaluma tofauti

    Wangefikiria kuweza kuruhusu mtu kuapply walau kama degree aliyo nayo sio sawa na diploma aliyopata yani change of facilities
  3. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa usajili wa Vituo vya Afya haukubali kuwaajiri Clinical Officers kama wasimamizi wa huduma

    Serikali imekuwa ikieleza kuwa haiwezi kuajiri vijana wote waliomaliza masomo na kuwahimiza kujiajiri, jambo ambalo tunalikubali. Hata hivyo, changamoto kubwa ipo kwa wahitimu wa Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officers). Kwa mujibu wa miongozo iliyopo, Clinical Officer anaruhusiwa kutoa...
  4. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania HOJA Wanafunzi wa Udaktari St. Francis Referral Hospital kuzuiwa kuwa na simu kwa Saa 10 hadi 11 si jambo zuri

    Wanafunzi wa med siasa ni nyingi hizo simu sio kwamba zina mfanya afeli au asiwe na elimu mwanafunzi yoyote kuwa na simu ni distraction kubwa sana tulosoma meds tunajuana. Na Dhani chuo kisimamie misingi yake kama kuna changamoto unakuwa na note pembeni later Musa wako wakujisomea unapitia kwa...
  5. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Muda gani sahihi wa kubadili oil kwenye pikipiki

    Mkuu je Yamaha AG 200 inaweza kunywa litre moja kwa kilometer ngapi
  6. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    Mbegu zinapatikana mbona +255 744 369 392 atakupa maelezo zaidi
  7. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    +255 744 369 392 hii hutumiwa na mtu wetu Tanzania hiyo namba haipo tena kwenye service
  8. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Karibuni wadau wa kilimo tufaidike kwa pamoja na mradi wa pilipili kichaa aina ya african bird eye chilli (abe)

    Mna nunua je kwa wakulima kwa bei ya kilo 5000 wakati kwasasa zao hili linafika mpaka 8000 per kg
  9. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa milioni 10

    Wewe unajua hilo Gari anataka kufanyia nini? Au ndo kama kawaida ya wabongo kuhukumu pasipo kujua chanzo na sababu za mtu. Kasema anataka 10M akanunue Gari yeye ni mtu mzima anajua kwanini anataka hilo Gari pia tuache kujudge mawazo ya watu Sent from my SNE-LX1 using JamiiForums mobile app
  10. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa milioni 10

    Hahahahaha kila mtu ana jifanya ana jua maana ya finance ndo maana Gari lina weza kuwa asset au liability inategemea unafanyia nini lakini haja sema hapo hilo Gari ana mpango nalo gani. Tatizo watu bado tunayo ile dhana ya watu wa kale kwamba Gari sio muhimu bado hamjui kazi ya mtu husika na...
  11. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Na hakunaga biashara rahisi hata siku moja kwaiyo ni kazi kwako kuchagua unataka kufanya nini
  12. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    IST 1ltr ikiwa mpya kama hyo unayoagiza ww.. itasukuma mpka 15Km… na kama njin kwny Jum.. bhass ikishuka ni 12 Km.. na uber 12Km X 450 = 5400tsh apo una lita mbili.. na sijajumuisha muda utakaotumia.. maana UBER unalipwa interms of Time and Distance.. Kreti la soda moja linauzwa 10,000/- na...
  13. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    Kama unazo hizo pilipili hata sasa nitafute kwa namba za whatsapp +27 79 166 9230
  14. Semindu Cooperate

    JamiiForums Tanzania Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    Kama kuna mkulima ambae a nalima zao la pilipili kichaa naomba niutafute haraka awezavyo kwa namba za whatsapp +27 79 166 9230
Back
Top Bottom