Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined
Nov 8, 2011
Messages
952
Points
250
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined Nov 8, 2011
952 250
Jamani niwaambie ukuweli, kilimo cha pilipili ni hela. Soko liko tayari linakusubiri wala huitaji kulitafuta. Na bei halikadhalika ishabainishwa ni tsh 4000/= iliyokaushwa kwa kilo. Lakini pia kabla ya kuanza kulima unapewa mkataba wako kabisa wa market assuarance. Haina gharama sana kwenye uzalishaji wake na kwa ekari moja haizidi milioni moja na laki mbili uwekezaji wake.
Kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia namba zangu za simu zilizo chini ya post yangu ya kwanza hapo juu.
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
566
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
566 500
Huw
sijui ni hali mbya?lakini watz tupo wepesi mno mno kuamini haya mambo.. haua makampuni ya kulima pilipili yapo kibao na hakuna alowah faidika nao.. unaishia kulia tu..lilikuepo jingine dodoma acha watu tulime zile eye bird..tuliwaona basi!
Huwa wanalenga kuuza mbegu, baada ya hapo wanasepa.Huku nilipo kuna wengine wamekuja na zao la tangawizi isio na kamba, sasa mbegu ya kutosha heka 1 milioni 20, watanunua wenyewe na faida utapata milioni 20.wadau hii mnaionaje!
 
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Messages
566
Points
500
T

Tangantika

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2018
566 500
Jamani niwaambie ukuweli, kilimo cha pilipili ni hela. Soko liko tayari linakusubiri wala huitaji kulitafuta. Na bei halikadhalika ishabainishwa ni tsh 20,000/= iliyokaushwa. Lakini pia kabla ya kuanza kulima unapewa mkataba wako kabisa wa market assuarance. Haina gharama sana kwenye uzalishaji wake na kwa ekari moja haizidi milioni moja na laki mbili uwekezaji wake.
Kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia namba zangu za simu zilizo chini ya post yangu ya kwanza hapo juu.
Soko la mtu mmoja sio la kutegemea sana, ukipata misukosuko ya kibiashara itakuwaje? Ungenuambia kuwa pilipili zinahitajika masoko yetu na hili la nje ni ziada hapo nitakuelewa.
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,836
Points
2,000
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,836 2,000
Jamani niwaambie ukuweli, kilimo cha pilipili ni hela. Soko liko tayari linakusubiri wala huitaji kulitafuta. Na bei halikadhalika ishabainishwa ni tsh 20,000/= iliyokaushwa. Lakini pia kabla ya kuanza kulima unapewa mkataba wako kabisa wa market assuarance. Haina gharama sana kwenye uzalishaji wake na kwa ekari moja haizidi milioni moja na laki mbili uwekezaji wake.
Kwa malezo zaidi tuwasiliane kupitia namba zangu za simu zilizo chini ya post yangu ya kwanza hapo juu.
hiyo 20k ni kwa junia, au?
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
15,362
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
15,362 2,000
Huw

Huwa wanalenga kuuza mbegu, baada ya hapo wanasepa.Huku nilipo kuna wengine wamekuja na zao la tangawizi isio na kamba, sasa mbegu ya kutosha heka 1 milioni 20, watanunua wenyewe na faida utapata milioni 20.wadau hii mnaionaje!
kwann wasilime wenyewe..msihadaike..
 
y-n

y-n

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,973
Points
2,000
y-n

y-n

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,973 2,000
Shida bwana hizi fursa watu huwa wanageuzwa fursa wao! Huwa wanajazwa wakiingia biashara inaishia hapo. Tumeona kwenye mapapai, mara mayai ya kwale mara mitiki

Lakini sisemi na ya kwako ni hivyo!
Mayai ya kwale???
 
P

possible

Member
Joined
Jun 25, 2015
Messages
30
Points
95
P

possible

Member
Joined Jun 25, 2015
30 95
Kabla ya hata kufikiria kulima pilipili hizo kichaa,naomba utupe ushahidi wa wakulima ambao tayari wameshalima na mmeingia nao mkataba.Tumeona mara nyingi wauza mbegu wanakuja na stahili hii ya kuwa wao ndo wanunuzi kumbe wanataka kuuza mbegu.
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,735
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,735 2,000
Kweli tuna utajiri wa ardhi na maji yanayotiririka, ila nimeona waliosogelea na kulima karibu na mto jinsi mazao yalivyokatwa sina hamu
 
LOVE U JF

LOVE U JF

Senior Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
125
Points
250
LOVE U JF

LOVE U JF

Senior Member
Joined Dec 16, 2018
125 250
Haya makumpuni ni wezi kikubwa nikwenda masokoni unafanya utafiti wa zao unalohitaji kulima ukilizika nasoko unakwenda kuzalisha
 
Mpigamaji

Mpigamaji

Member
Joined
Oct 24, 2018
Messages
51
Points
125
Mpigamaji

Mpigamaji

Member
Joined Oct 24, 2018
51 125
sijui ni hali mbya?lakini watz tupo wepesi mno mno kuamini haya mambo.. haua makampuni ya kulima pilipili yapo kibao na hakuna alowah faidika nao.. unaishia kulia tu..lilikuepo jingine dodoma acha watu tulime zile eye bird..tuliwaona basi!
Kweli, kama wanaona yanalipa waende wakalime wao wajiuzie wao. Kwanin watusumbue sisi. Ukishamaliza kulima waaanza kukuambia mara ubora, mara hujakausha vizuri mara zimepanda zimeshuka... Hatimaye hawatokei kabisa. Kwanza tani siyo mchezo, kwa kibongo bongo hzo tani 6 kwa ekari labda ekari ya nyanya :D :D :D :D :D
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
15,362
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
15,362 2,000
Kweli, kama wanaona yanalipa waende wakalime wao wajiuzie wao. Kwanin watusumbue sisi. Ukishamaliza kulima waaanza kukuambia mara ubora, mara hujakausha vizuri mara zimepanda zimeshuka... Hatimaye hawatokei kabisa. Kwanza tani siyo mchezo, kwa kibongo bongo hzo tani 6 kwa ekari labda ekari ya nyanya :D :D :D :D :D

Wewe umenielewa..yes wanatoaga sababu nyingi balaa.hhahh..kwakweli walime wao wajiuzie wenyew..itapunguza faida...tan 1 ya pilipili ni habari kubwa sana
 
NYEKUNDU YA BIBI

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
1,139
Points
2,000
NYEKUNDU YA BIBI

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
1,139 2,000
Umeeleweka ndugu yangu lakin bado haujatueleza hizo pilipili nan inaingia naye mkataba (Soko), sbb unaweza ukalima pilipili nyingiii halafu siku ya mwisho ukakosa soko jamii ikakuona unamatatizo ya akili labda kwa kuwa umesoma Sana
Kwa kua umesoma Sana ila kweli msomi akifanya kitu kibaya kisicho na maslahi
 
M

Mamishale

Member
Joined
May 23, 2019
Messages
78
Points
95
M

Mamishale

Member
Joined May 23, 2019
78 95
Wewe umenielewa..yes wanatoaga sababu nyingi balaa.hhahh..kwakweli walime wao wajiuzie wenyew..itapunguza faida...tan 1 ya pilipili ni habari kubwa sana
Hizi ni habari nzuri sana tu.Utekelezaji wake na soko na vingine vingi ndio matatizo makubwa.mbona mwelemishaji ameingia mtini hawasaidii wadau.Rudi utujibu humu bwana wee.Najua wee sio msanii kama hawa wengine waliotajwa hapo juu pamoja na wale wa mradi wa ndulele kule Moshi maili sita.
 
Forum statistics

Threads 1,304,164
Members 501,290
Posts 31,505,016
Top