Recent content by Semi Page

  1. Semi Page

    Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Mkaushie, mwambie huna hela. Ikishindikana sana anza routes za chooni frequently. Mwambie una tumbo la kuhara, hiyo itasaidia mtoko usiwepo.
  2. Semi Page

    Siri 5 za Ndoa Inayodumu

    Acha mkuu, hata kama ni wewe usingeweza. Dalili za mvua huwa ni mawingu
  3. Semi Page

    Siri 5 za Ndoa Inayodumu

    Yote tunayajua haya, ila hizi mbilinge za huku ndani sio za kitoto. Formula zote zinapuuziwa. Gubu sio mchezo, linaweza sababisha ukahama hata nyumba
  4. Semi Page

    Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

    Acha maigizo. Astaghafulilah ya nini wakati upo bampa to bampa na story. Lengo la mleta mada ni kuifanya jamii ivutiwe na upande aliopo, na ndio maana anajaribu kunomalize vitu
  5. Semi Page

    Msaada kwa wanaoijua vizuri Microsoft Word

    Hivi ni kwa namna gani naweza kuifunga pdf ili isiruhusu conversation au kubadilishwa kwa namna yoyote?
  6. Semi Page

    Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    Baba yake mzazi
  7. Semi Page

    Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    Huyo namba 3 ni baba yake Nandy
  8. Semi Page

    Dis - track ya taarab. Iliyomvuruga Khadija Kopa. Utalijua jiji

    Hata kama ndio mambo yenu, ndio utume file la Mb 25 ?
  9. Semi Page

    Dis - track ya taarab. Iliyomvuruga Khadija Kopa. Utalijua jiji

    Wewe ni Justine au Justina? Maana ulichoandika hakiendani na Justine
  10. Semi Page

    TFF wanaihujumu sana Simba

    Jicho la tatu lipi? Au mashabiki wa Simba mmeanza kutazama mpira kwa mikundu?
  11. Semi Page

    PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Lazima tukuulize kuhusu babu zako walau tujue chimbuko lako. Maana taarifa zako pekee hazitoshi kutuelezea uraia wako
Back
Top Bottom