Niaje guys? Hope ur good.
Kuna cousin wangu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa, walipena tu mimba kama marafiki, mama alirudi mkoani kwao na amekua akiishi huko miaka yote
Nikiwa form...
Maelezo yako ni too general, wewe mwenyewe umedai tusubiri tuone sequence of events, meaning hadi sasa hakuna ushahidi wowote hata ule wa indirectly wa involvement ya marekani, kinachozungumzwa na wengi ni just assumptions based on previous coups in other countries, but there is no direct...
Mkuu naamini marekani ingeamua kweli kupanga na kutekeleza coup deta't hiyo isingeshindikana, ni wazi ingefaulu
Hadi sasa hakuna ushahidi hata ule wa mazingira tu unaoonesha marekani imehusika, edogan pia hajatamka hivyo, kilichopo tu ni kuwa Kuna mfanyabiashara maarufu nchini turkey ambae...
Nchi za magharibi ziko mbali sana kimaendeleo, itachukua miaka mingi sana kwa pande zingine za ulimwengu kuweza kuchukua nafasi ya kutawala dunia,
Karibu magereza mengi ya nchi za magharibi yapo hivyo, ni mazuri kwa muonekano, huduma zote muhimu zipo, wafungwa wanalala wawili wakizidi ni...
Nimesema una Uhuru wa mawazo, Hiyo ni kukubaliana na wewe? Aisee kumbe una tatizo kichwani sio hivi hivi
Nimekujibu una Uhuru wa mawazo hata kama ni ya kipumbavu, ni mawazo yako, hukuelewa maana yake?
Yeye atafute maisha yake, ajiendeleze kielimu, njia anayoichagua haitamsaidia, njia hiyo imewapeleka kubaya wengi, his father had a very sad ending, huwezi kuibuka mshindi katika vita hiyo hata ukiua watu million, baba yake ulimwengu mzima ulimuona shujaa, lakini kwa kadri miaka ilivyozidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.