Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Komaa tu brotha, kipaji chako soon kitaonekana WCB. Ukishaanza kujistukia mwenyewe, then pengine unachofanya si sawa.
[emoji30] [emoji30] mwenywe na ttz km iloHabari za saa hizi JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23, katika maisha yangu huwa navutiwa sana na wadada wakubwa walionizid umri sana.
Kitendo hichi kimenifanya niwe na mtoto wa miezi minne na binti ambaye kamzidi hadi dada yangu wa kwanza umri, hata nyumban napata wasiwasi wa kumpeleka.
Naombeni mawazo yenu juu ya hili.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangu gunzi tena ???kwaio unataka afe bila mtoto azikwe na gunzi kwenye tundu la kalio,we nae haujielewi
Anayekufa na mtoto anafaidi nini huko aliko tofauti na asiye na mtoto akifa?kwaio unataka afe bila mtoto azikwe na gunzi kwenye tundu la kalio,we nae haujielewi
heeeh!!huna kazi tena..kwa iyo unapenda kulelewa ndo maana unataka wakubwa zakosina ela wala sina kaz mm ni mwanafunzi
Umeona eeeeeeeee,sijui wana nn hawa wadada Wakubwa Wakubwa.Ila ni watamuu!Tuko wengi
Na kwa wasichana je..?? Tupe kanuni yake...[emoji136]Wanaume wenzako wote huwa tunavutiwa na mabinti wadogo kwa kufuata ile kanuni inayotawala kila kichwa cha mwanaume ISEMAYO Chukua umri wako kisha gawanya kwa mbili, kisha jibu utakalopata jumlisha kwa saba, jibu utakalopata basi mwanamke mwenye umri kama huo lazima uvutiwe nae ( let say umri wako ni 20, ukigawa kwa mbili inakuwa 10, ukijumlisha saba inakuwa 17... Basi huo ndio umri wa wasichana utakaovutiwa nao
Mimi hawa wakubwa wakubwa nawapigaga kuleeeeeeeee tandika na temeke sudanUna maradhi km yangu, mie toka niijue papuchi sijawahi kupiga under my age.. Hiyo niliyofanyia uzinduzi tu alikuwa kanjzid miaka ipatayo five O'Clock
Habari za saa hizi JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23, katika maisha yangu huwa navutiwa sana na wadada wakubwa walionizid umri sana.
Kitendo hichi kimenifanya niwe na mtoto wa miezi minne na binti ambaye kamzidi hadi dada yangu wa kwanza umri, hata nyumban napata wasiwasi wa kumpeleka.
Naombeni mawazo yenu juu ya hili.
atoto miss chagga rubii Evelyn Salt HEBU MSAIDIENI SWALI LAKE, ANAULIZA NYIE HUWA MNAVUTIWA NA NINI KUTOKA KWA MWANAUME?Na kwa wasichana je..?? Tupe kanuni yake...[emoji136]
Mr. Kenge ntakutafta, vipi hawa sio wa masharti.. Maana ile kwangu ni starehe, kwahyo uhuru muhimu kupatkanaMimi hawa wakubwa wakubwa nawapigaga kuleeeeeeeee tandika na temeke sudan
Aisee hata mm and this is because naamin walionizid age wataweza nipanua kchwa kmawazo,fikra even though ushauri pia so naamin mapenz cyo kusex tuu bt hta hyo piaHabari za saa hizi JF,