Osama bin Laden’s son vows revenge against US for killing his father

Hakuna wa kumgusa mtoto wa Mujahideena huyo..!!!
chinchilla coat
Tyta mbona meufyata...
Yeye atafute maisha yake, ajiendeleze kielimu, njia anayoichagua haitamsaidia, njia hiyo imewapeleka kubaya wengi, his father had a very sad ending, huwezi kuibuka mshindi katika vita hiyo hata ukiua watu million, baba yake ulimwengu mzima ulimuona shujaa, lakini kwa kadri miaka ilivyozidi kwenda alikosa pa kukimbilia, aliishi kama digi digi ndani ya compound moja tu Bila kutoka, aliishi kama mfungwa mwenye kuletewa kila mlo ndani kama jela, familia yake ilishindwa kutoka hata nje ya geti kwa hofu ya kukamatwa, watoto walishindwa hata kwenda hata shuleni

Mwisho Osama kaja kuuawa kama kuku, hakukutwa hata na bunduki ya kusingiziwa, hakujijitetea hata kidogo, badala yake mwanamke, mkewe mdogo amal ndie anasimama mbele ya Osama kumkinga mumewe, akiwarushia wa marekani viatu na mito na kila kitu, wanamwonea huruma binti mdogo waanamua kumpiga risasi ya mguu na kisha wanaendelea na kazi iliyowaleta hapo
Huo unakua mwisho wa Osama

Leo mwanae anataka kufuata njia hiyo hiyo iliyomshinda babake, hata kabla ya kuuawa Osama, alqaida ilikufa long time, walibaki viongozi wanaoishi kwa kujificha, hawajawahi kufanya shambulio lolote la maana katika nchi za magharibi kwa miaka sasa, hata kiongozi wake mkuu mpya dk Ayman Al zawahir anaishi kama digi digi kwa kujificha, lakini one day marekani itamfikia aliko

Adui mkubwa wa uislam duniani ni alqaida na Osama, ndie aliefanya uislam uonekane dini mbaya, thank God vijana wengi katika ulimwengu wa kiislam hasa uarabuni walikuja kugundua Osama na alqaida yake hawakua wanapigania uislam, maana baada ya kushindwa kulipua nchi za kimagharibi na kuanza kulipua nchi za kiislam hivyo kupoteza uungwaji mkono, na ikawa ndio anguko lao, sawa sawa na isis au daesh itakavyoanguka, maana imeanza kulipua nchi za kiislam mfano madina

Bahati nzuri, hakuna sheria inayomfunga huyu kijana, hajawahi kujihusisha na ugaidi, hivyo ajitenge na maisha hayo aishi maisha ya kiraia
 
Your advises... huwa zinachukuliwa na kukunjwakunjwa na kutupiwa ndani ya DUST bin!!
Umeona kusoma ndiyo kukamilika.... (USA & allies)at the end of the day You kill innocents!!
umeona kusoma ndiyo kuishi.... Mbona wote wanaishi. !!
umeona kusoma ndiyo Uraia.... mbona wao raia wa Mwenyeezi Mungu !!
nani kakuambia aliuwawa... ikiwa baada ya 2010.. wamezaliwa watoto 6 !! majina yao :-
ALS, BH, ISIS, AQM,AQUS,AQF, na wajukuu wanafuata..... hehe he he he....
 
Hii taasisi ya Osama bin laden una watu wenye maarifa makubwa mno kuliko nyie mnaoshauri shauri APA ooooh atakufa, asingejitangaza angelipua tu!!!!
Kiakili kidogo kinashauri akiki kubwa mno
Haaah hhAa haaa. Muwe mnagoogle basi kujua CV ata ya Osama na viongozi wengine wa hilo kundi
 
Your advises... huwa zinachukuliwa na kukunjwakunjwa na kutupiwa ndani ya DUST bin!!
Umeona kusoma ndiyo kukamilika.... (USA & allies)at the end of the day You kill innocents!!
umeona kusoma ndiyo kuishi.... Mbona wote wanaishi. !!
umeona kusoma ndiyo Uraia.... mbona wao raia wa Mwenyeezi Mungu !!
nani kakuambia aliuwawa... ikiwa baada ya 2010.. wamezaliwa watoto 6 !! majina yao :-
ALS, BH, ISIS, AQM,AQUS,AQF, na wajukuu wanafuata..... hehe he he he....
Ni sawa mkuu, una Uhuru wa mawazo
 
Ni sawa mkuu, una Uhuru wa mawazo
Ha ha ha ... Kumbe wakati mwingine mnaelewaga lakini mnajitoa uhafamu kama vile... mnaburuzwa buruzwa...!!
Sasa kama waTZ tujipange kutoa haki, ajira na uuadilifu kwa wananchi... Laa sivyo naona huko Tanga (mapangoni) na huko Mwanza (milimani/majabalini unEmployents umeanza kuzaa wafuasi.....

chinchilla coat
Tyta yalianzaga hivo hivo....
 
Hawa watoto wa Osama si waliwahi kanusha taarifa za USA kumuuwa baba yao, na wakasema baba Yao alikufa kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu tangu mwaka 2006, sasa visasi vya nini tena kwa USA Kama USA waliua mtu mwingine?
Inshu ingine dogo alipaswa kufanya mashambulizi kwanza ndo baadae aseme yeye ndiye mtekelezaji wa hayo mashambulizi habari za kuongea tu kwa media wakati hajaganya lolote ni kazi bure.
anawaza kufikiria kisasi leo wakati wenzie wana miaka wanamsaka na madrone yao....hapo anaongeza tu jitihada za kumsaka
 
Marekani katika ubora wao, wanabuni jingine, kifupi hata hao alqawaida ni watoto wao
 
Ha ha ha ... Kumbe wakati mwingine mnaelewaga lakini mnajitoa uhafamu kama vile... mnaburuzwa buruzwa...!!
Sasa kama waTZ tujipange kutoa haki, ajira na uuadilifu kwa wananchi... Laa sivyo naona huko Tanga (mapangoni) na huko Mwanza (milimani/majabalini unEmployents umeanza kuzaa wafuasi.....

chinchilla coat
Tyta yalianzaga hivo hivo....
Nimesema una Uhuru wa mawazo, Hiyo ni kukubaliana na wewe? Aisee kumbe una tatizo kichwani sio hivi hivi

Nimekujibu una Uhuru wa mawazo hata kama ni ya kipumbavu, ni mawazo yako, hukuelewa maana yake?
 
OMG !! hayo usemayo ni kweli "kwani wote hatukuzaliwa na geniousz/akili timamu" !!!
Kila tulipo grow na wigo la ubongo/akili huwasaaika na kuona tusicho kijua... wengina mnaishi KiJahili na wengine mnaAminishwa red is yellow !!
Sasa nielekeze kilocho kuwa sahihi kama MTZ mwenzako ili tuwasaidie haom wa mapangozni wasijaae na kuongezeka humu !! For the sake of our nation!!! and thn the world !!
(maana naona tunashindwa mapambano nao)
 
"We will continue striking you and targeting you in your country and abroad in response to your oppression of the people of Palestine, Afghanistan, Syria, Iraq, Yemen, Somalia and the rest of the Muslim lands that did not survive your oppression," Hamza said.

Mwanangu, umeshajikuhumu kifo, because...

"They will continue striking you and targeting you in your country and abroad in response to your oppression of the people of USA and the rest of the civilized lands that have to survive your terrorism," Synthesizer said.
 
Sipati picha ulimwengu ungekuwaje iwapo USA isingekuwepo maana wapo watu wanaotaka kila mtu awe wa dini ile hata kama wanayoyafanya ni mabaya bora uwe upande wao tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom