Naunga mkono mtoa mada. Wakati wa uchaguzi wanachama wa CCM wote wenye nia safi kwa cha chao walitumia muda wao mwingi na rasilimali zao kwa kukitetea chama bure. Wajumbe wa mtaa na wakereketwa waliteseka na kuumia wengine kuuawa kwa ajili ya kulinda chama. Tujikumbushe ndugu yetu Kessi...
Mpango hana mipango. Napata wasiwasi sana na anapotaka kutupeleka. Mawaziri wasomi wa uchumi wajaribu kumnyoosha huyo ndugu. Tukimuendekeza atatuua kwa kodi kwani bado anasema watu hawalipi kodi anataka tulipe kodi ya ndevu na kucha.
Nashukuru umetohoa kuwa alikosa uongozi wa pamoja either kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Suala la collective responsibility ni muhimu sana kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa serikali ya mtaa anatakiwa ajue hilo. Usipoweza basi pumzika kajipange upya.
Nadhani awali Nape alidanganywa na watu aliodhani ni wema kwake akahamaki na kutafuta waandishi wa habari kwa kiherehere kikubwa. Nadhani watu makini wamempa somo kuntu. Wakati wa JK baraza la mawaziri lilivunjwa zaidi ya mara sita lakini hakuna waziri aliyefanya vitimbwi kama vya huyo ndugu...
Wana jamvi. Swali lake halina mashiko kwa msingi kwamba value ya rais ni tafauti sana na ile ya rais. Ukilinganisha mustadha wa ubinadamu wako sawa lakini kwa wadhifa, mchakato wa kupatikana na ulinzi kwa uchache wake ni tofauti sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.