Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,382
- 7,817
haya mambo ya kumwamin mtu kuptiliza na hasa kama anatumika kwa mambo ambayo hakutakiwa kuyafanya je hatuoni hatari iliyoko mbele yetu!
kwa ujasiri ule wa kuonyesha bastola hadharan je cku moja hawez kumlenga hata RAISI? nawaza tu
halafu kwa anavojiita sniper na matendo aliyofanya what if anatumika hata kufanya mabaya kuliko tuliyoyaona? bado nawaza tu!
jaman hatariii tufikirie mara mbili mbili