Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe.Freeman Mbowe mchana huu ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachofanyika jijini Tanga leo Jumanne 28/03/2017 huku kukiwa na joto la uchaguzi unaosubiriwa kwa hamu kubwa, ili kuweza kumpata Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Katibu na Muweka Hazina,uchaguzi utafanyika siku ya kesho Jumatano 29/03/2017.