Recent content by sele_hazard

  1. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

    Akili ni KIUNGO??
  2. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB boresheni huduma zenu kwa wateja

    Sio wakenya wote mkuu.. labda unazungumzia wakenya wa ukanda wa pwani
  3. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    We jamaa inaonekana una chuki tu binafsi kwa mtu anaetulia na kusoma maelezo yako vizur
  4. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Mwamposa apewe maua yake

    Daah nimesoma hii nmeskia hasira kinoma sijui kwanini.. ivi mtu unaaminije vitu kama vile?
  5. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Unatukuza wazungu?
  6. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    Kufika au kutokujua zimetoka wapi zinathibitisha vipi kama zimewekwa pale? Naomba unipe elimu isiyo na mashaka lengo ni kujifunza! Pengine sifaham zilipotoka lakini kwann ww tayar una conclude zimewekwa pale? Au ni imani na vitabu vya dini ulivyosoma
  7. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    Unakwepa kwepa sana kujibu..
  8. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    nyota zipo na tunaziona kabisa, unasemaje zimewekwa yaan unathibitishaje? Mbona swali jepesi mkuu
  9. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    S Swali ni una uhakika gani au unathibitisha vipi madai yako ayo? Nyota zimewekwa/zimesetiwa?
  10. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Wewe na nani?😃
  11. sele_hazard

    JamiiForums Tanzania Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Hahahahahah duuh wajinga ndio waliwao
  12. sele_hazard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Kwani kila mtu lazima alime?
Back
Top Bottom