Nahisi kizaz chetu watu wa themanini mwishoni tunakosa na tumekosa marifa na busara pamoja na mbinu nyumbulifu za maisha toka kwa wazee wetu.
Ujuaji na utandawazi umetuponza sana kujifunza namna halisi ya maisha.
Mtukanaji namba moja naomba niwe mimi tafadhali...
Eeeeh kwa hiyo mzee hujao au mbunyeto ulikuwa unazimunyiza na kuondoka
Vp kuhusu familia na watoto au hukutaka tena kuwa nao?
Kuna ujinga na upumbuvu sasa Ingia ktk mtego wa upumbavu alafu umpe elimu yatabaki yakicheka na kukenua yakiona wenzao wajinga kumbe wao ni brain washed na hata kujua vizur vyanzo na uhalali wa vitabu na mipaka ya nchi za sasa haukua hivi ulivyo leo...
Wache wapumbavu na upumbavu wao.
Kwanza mtu alikushauri pilipili kichaa na kituu swaumu inabid umalàni
Pili dawa yeyote bila kula ni hatar sana
Tatu Cayyene pepper ndo pilipili pekee ambayo ni tiba na blood thinner pitia Herbalist na Nutrionalist wote dunian
Zaid pombe na dawa ni hatar kwa afya yako
Hivi wanashinda mitandaoni na google kwa kueneza uzushi na chuki wakidhani kila mtu poyoyo.
Alafu linaelimishwa linashupaza misuli kwa kutetea ujinga wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.