Hao ni matapeli nakushauri ndugu usitume hiyo fedha kama unayo ifanyie jambo lingine la msingi huwezi kujitolea halafu ulipe tena kwa ajili ya usajili.
Kwani kama ameona jambo kama hilo na akajua kuwa litaleta madhara kwetu sisi wasaka ajira asitujulishe? tusimuhukumu cha msingi tuchukue ujumbe wake na kujitahadharisha. Kama yeye ni mmoja wao basi ila ujumbe umetufikia na tutaufanyia kazi.
pole sana kaka kumbuka tupo wengi wenye matatizo kama la kwako kwa hiyo kuwa na imani kwani tayari una hazina ambayo hakuna wakukunyang'anya ambayo ni ELIMU c lazima tuajiriwe jamani ubunifu katika kufanya mambo mengine ni muhimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.