Recent content by SeiphuJazari

  1. SeiphuJazari

    Madikteta wa Afrika wanapaswa kujifunza kwa Rais Putin, huyu ni genius

    Una matatizo sana iv ni nani alie iweka Russia kwenye Raman ya Dunia Tena?
  2. SeiphuJazari

    Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

    [emoji15] [emoji15] theory
  3. SeiphuJazari

    Kama kweli mkoloni apaswa kulaumiwa kwa umasikini wa Afrika, basi Liberia na Ethiopia zingekuwa "Developed countries"!

    Sababu kubwa ni viongoz tunao wachagua si wazalendo kwa mataifa Yao Yana jimbilikizia Mali na kusahau watu walio wachagua na sub point weng n vibaraka Wana tumia kutukandamiza nafikili n akili ndogo sana iliyo tumika kujibu
  4. SeiphuJazari

    China na Urusi zashtumiwa kuendelea kuiuzai mafuta Korea Kaskazini

    Ndugu ln umecikia China na urusi anahitaj msaada kutoka amarican
  5. SeiphuJazari

    AU yamjia juu Trump kwa 'kauli chafu' dhidi ya nchi za Africa

    Huwez kuita nchi bl watu huu ni ukwel uciopingika afrika ina toa harufu mby alicho zungumza kiko sahihi ndio maana wa afrika weng hukimbilia huko. Na naamin tokea uzaliwe huja wahi cikia mkimbiz kutoka marekani. Great mind discus Idea
  6. SeiphuJazari

    Nani yupo sahihi,Afande Sele au Mrisho Mpoto?

    Huu cio uhuru wa Congo mpk apewe nafas walio teseka enz ya ukoron n babu zetu na baba zetu na cio babu Wala baba wa bella
  7. SeiphuJazari

    Nani yupo sahihi,Afande Sele au Mrisho Mpoto?

    Mpoto katumia tafsir sisi katoa mfano che guavara ajui kuwa ulikuja kwa order maalum kuanzia Cuba mpk Congo mbn alikubali kugawana keki ya taifa km pongez alicho kifanya Mpoto automatically kakosea Bella hakustaili huu ni usalit
  8. SeiphuJazari

    Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Kabla ya mtume Muhammad kufa aliwahusia waumin wakiarabu# expel the jews from Arabian peninsula# ndio leo hiki kinacho watokea kwa kua c wamoja#mayahudi na manaswala watokubali mpk mfuate Mila zao#
  9. SeiphuJazari

    Mbunge wa Jimbo la Liwale CUF Zuberi Kuchauka, muda wowote atahamia CCM

    Political language is designed to make lies sound truthful and murder respectable
  10. SeiphuJazari

    Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia(CUF) ajivua uanachama na ubunge na kuhamia CCM

    Ukivutiwa na asali jiandae kumkwepa nyuki
  11. SeiphuJazari

    Maswali magumu shambulizi dhidi ya Mbunge Nassari

    Kusaka ukwel sawa na kumenya Ganda la kitunguu Lita kutoa machoz na kubaki macho juu ukisha fika kwenye kiini niambie nn utagundua zaidi ya mafaili ambayo Uta shindwa kuya funua
Back
Top Bottom