Recent content by seif rashidi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko kidato cha tano na sita ifutwe

    Hili kaka mbona liko chini ya utawala tu wa Shule sio mpaka waziri. Ziko Shule hawachapwi na ziko Shule wanachapwa. Kila kitu sio waziri
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mtumishi aliyetumia E-Loan system, zipi faida na changamoto zake?

    Hivi hakuna watumishi wa Benki humu hasa CRDB watufafanulie hapo?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtumishi aliyetumia E-Loan system, zipi faida na changamoto zake?

    Nikiiingia kwenye mfumo inafika sehemu wananiambia ''exception occurred while communicating with FSP. Please try again later'' nitapata Hela kweli hapo?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtumishi aliyetumia E-Loan system, zipi faida na changamoto zake?

    Mtumishi aliyewahi kutumia mfumo huu wa kidijitali kupata mkopo atupatie faida na changamoto na alitumia saa ngapi mpaka kupata pesa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Mliohamia Chakuwahata,tupeni process za kuzifuata na mm nikihame hiki chama dhalimu cwt
  6. S

    JamiiForums Tanzania Form Four ya kwanza ya Rais Magufuli inaanza mtihani kesho

    Anayejua posho za watahini necta, tafadhali atujuze. Akiwa mwl aliyewah kutaini itapendeza zaidi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

    Kuweni na kauzalendo wajamani hata kadogo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

    Andika namba zake mabarubaru watakujibia ndugu
Back
Top Bottom