Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

Kwni tatizo liko wapi??? Enzi za ukoloni zilizhapita, hii ni new age bro!

Kama umemielewa, tii kiu ya haja yake bana
 
Ndio kasumba za wabongo,dada wa watu kakupenda kwani kafanya kosa???
Ila kajihamini viwango vya air force one,maana wengine hatuna ujasiri huo.
 
Siku moja pitapita zangu kitaa cha Dodoma town niliitwa chemba na binti mmoja ambaye alijitambulisha anasoma CBE.

Alifunguka kuwa ananipenda sana na alikuwa akinitafuta mda mrefu sana. Dahhh nilishindwa chakumwambia akachukua namba zangu so kila time ananisumbua.

Nimjibu vipi jamani?
Demu alikuwa anakutafuta mda mrefu na haumfahamu what a looser... U don't even know what you talking about
 
Tz uhuru wakujieleza mkuu ictoshe cku hiz ni 50 kwa 50

Mpe sapoti mtot mzur afurahie ujasir wake
 
Yaonekana kuna maelezo mengine unaficha kuweka hadharani, so pambana na half yako ya kutongozwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom