Recent content by segwanga

  1. segwanga

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Soko la Manzese lateketea kwa moto

    Mabebeberu wanatumika.
  2. segwanga

    JamiiForums Tanzania Nani kachora Nembo ya Taifa kati ya Ngosha, Kabati au Farahani?

    Sasa hivi babu anaenjoy matibabu bure toka kwa serikali. Sishangai serikali kutokuwa na kumbu kumbu kwani hata hati ya Muungano haijulikani ilipo.
  3. segwanga

    JamiiForums Tanzania Nani kachora Nembo ya Taifa kati ya Ngosha, Kabati au Farahani?

    Kama hatuna kumbukumbu za miaka ya hivi karibuni je tutaweza kujua aliyebuni jina la Tanganyika!?
  4. segwanga

    JamiiForums Tanzania Kwann TBC haikulipa kipaumbele tukio la uvamizi Mkuranga

    Kuna mtu anayeangalia taarifa tbccm! Hongera
  5. segwanga

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Rais Magufuli ateua kamati ya Wataalam Kuchunguza Makontena ya Mchanga

    Namkumbuka huyo jamaa alituingiza mjini siku ya mabashite
  6. segwanga

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Rais Magufuli ateua kamati ya Wataalam Kuchunguza Makontena ya Mchanga

    sera yetu ya kwanza kwa bidii someni sana, sera yetu ya pili kwa bidii kuleni sana. Sera yetu ya tatu kwa bidii chezeni sana! Mafanikio sera ya kwanza afadhali, nayo ya pili kidogo sana nayo ya tatu hakuna kituuu.
  7. segwanga

    JamiiForums Tanzania Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

    Unataka afurahi? Siku trump akifurahi na yeye atafurahi
  8. segwanga

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mh Zitto?

    Anaandaa mswada binafisi wa kumwipeech rais
  9. segwanga

    JamiiForums Tanzania Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

    Mbona hujasem ulivyokuwa unawadunga mimba watoto wa watu na kuwatelekeza
  10. segwanga

    JamiiForums Tanzania Magari, pikipiki yang'olewa matairi. Ni katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli

    Picha hauna, acha uongo
  11. segwanga

    JamiiForums Tanzania Website Ya NECTA ni mbovu sana

    Mnataka matokeo ili iweje? Nendeni mahakamani!
  12. segwanga

    JamiiForums Tanzania Hata Tume Huru ya Uchaguzi ikiwepo Tanzania, CCM hawawezi kuachia ngazi!

    Tume huru ya nini? Lengo la chama ni kushika dola. Haijalishi umeshika dola kiuhalali au la. The end determines the means
  13. segwanga

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa Vitendo(Field) kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Yafutwa

    Acha uongo
  14. segwanga

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Deogratius Kisandu?

    Pole hata mke wa kuoa umekosa. Umepigwa pini
Back
Top Bottom