Recent content by SEGUZO

  1. SEGUZO

    Siri ya Kuchapiwa hii hapa

    Ukiwa unajiweza kimaisha na kila kitu anachohitaji mkeo unacho na unakubali kumpatia, kuchapiwa NI nadra sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. SEGUZO

    Wakenya wamcharukia Trump baada ya kumfanyia ubaguzi Uhuru

    Wakenya wange angalia VIZURI, coz Mimi naliona Kama zulia lenyewe lilikua jembamba lisinge watosheleza wote kupiga picha pamoja Sent using Jamii Forums mobile app
  3. SEGUZO

    Plot4Sale Nauza viwanja vyangu vinne.

    Bei? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. SEGUZO

    Ikiwa leo ni sikukuu ya MASHOTO duniani, tukutane hapa wanao tumia kushoto!

    Basi mkuu, huo wakulia ulilazimishwa kuutumia ila asiliyako ni MASHOTO Sent using Jamii Forums mobile app
  5. SEGUZO

    Ikiwa leo ni sikukuu ya MASHOTO duniani, tukutane hapa wanao tumia kushoto!

    Ikiwa leo tarehe 13/08/2017 ni siku ya watumia mkono wa kushoto duniani, hebu wana JF tunaotumia mashoto tujitambulishe hapa na tuwalete watu mashuhuri ambaye nao ni mashoto. kwa upande wangu ni Mimi wa kwanza 1-rais wa kenya Uhuru Kenyatta 2- waziri mkuu wa Esrael Benyamin Netanyahu 3- alietoa...
  6. SEGUZO

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. SEGUZO

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Mengine haya hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. SEGUZO

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Sent using Jamii Forums mobile app Mengine haya hapa Mengine haya hapa Uhuru anaobgoza
  9. SEGUZO

    Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

    kuna: 1) BRIGHAM, CUMBRIA ENGLAND. 2 ) BIRMINGHAM, ALABAMA USA. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. SEGUZO

    Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

    Iyo yakulipwa dola 1000$ ipo(kasema mwenyewe) lakini sio kutokana na huduma za maombezi, bali yeye ni mhadhiri ya baaadhi vyuo vikuu ulaya na ni dektari wa falsafa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. SEGUZO

    Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

    Marekani: Askofu Josephat Gwajima atunukiwa tuzo ya mtu mashuhuri duniani huko katika jiji la Birmingham jimbo la Alabama USA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. SEGUZO

    Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Mimi naanza na huyu hapa aliyewahi kuwa Rais wa India Mr Abdulkalaam, yeye achililia mbali kuwa na mtoto, tangia azaliwe yeye hajaoa na hajafanya tendo la ndoa na nimwanaume wa mbegu "RIJALI". wapili aliyekua Rais wa Djabouti Marhemu Hassan Guled Abtidoon, yeye hakuwahi kuzaa mtoto Sent...
  13. SEGUZO

    Mahari ya kabila la Wahadzabe

    Hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. SEGUZO

    Mahari ya kabila la Wahadzabe

    Hata diwani hawana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. SEGUZO

    Mahari ya kabila la Wahadzabe

    Kwanza kabila hili ndio kabila dogo zaidi nchini Tanzania idadi yao ni karibu watu elfu moja maisha yao hutegemea uwindaji na mazao ya porini. . Wahadzabe wanaoana kwa mahari ya Nyani wawili na debe la asali ambaye kwa kabila lao ndio vitu vyenye thamani zaidi Sent using Jamii Forums mobile...
Back
Top Bottom