mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,727
Mkuu ndoa kuvunjika sio mpaka watu watengane ...yan hata ile tuu mko kwenye ndoa then mmoja wenu akaanza kuchepuka.bhas hiyo ndoa ishavunjikamtoa mada ni vyema ukaelewa kuwa dini ni imani hiyo sababu yako ya kushika amri za mungu ni kwa imani yako ww ndio itafanya mwanamke asitoke nje ya ndio sio sahihi kuna wake wa wachungaji wengi na watu wengi wana shika amri za mungu na bado wake zao wanatoka nje ya ndoa.
na kuhusu kuoa mwanamke bikra-nayo haina mashiko na ingekuwa na mashiko basi karibu ndoa zote duniani z ingekuwa zimisha vunjika maana katika watu 1000 wanaoa kwa mwaka basi anayeoa bikra labda ni moja au hakuna kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app