Ni kweli kk lazima urisk ila naamini hii inawezakuwa na kausalama kidogo na pia wanakupa $9 bure na unaongeza $2 unaanza ku invest.Mimi pia naendelea nayo acha tuone huenda ikawa na mwanga kutokana zama hizi tulizonazo za kimtandao zaidi
Habari! Vipi kuna platform moja inaitwa dealno1,unajiunga bure nayo ushawahi kuisikia? Naona wengi wanajiunga wanadai inalipa kutegemea na capital uliyonayo kwenye account yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.