IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Habari yenu wakuu,elimu yangu ni shahada ya kwanza ya elimu katika masomo ya mathematics&geography.Natafuta kazi ya kufundisha katika shule ya sekondari private yoyote tanzania(O-level or A-level or Chuo chochote cha diploma).Mtu yoyote anayeweza kunisaidia or kuniunganisha na mtu or shule yenye uhitaji wa mwalimu wa hayo masomo anaweza ni PM kwa details zaidi.
Ninakaribisha michango yenu ya mawazo na hata kuni challenge mnaruhusiwa....ahsanteni