Chanzo ni East Africa Tv,
Akizungumza katika kipindi cha superbreakfast leo asubuhi ,Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert chalamila amesisitiza wote wanaopinga bandari watakamatwa na kuwekwa ndani na yeye mwenyewe ata dili na wote wanaopinga mmoja mmoja mpaka watakapoisha
Mpaka sasa amesisitiza...
Wakili Mwabukusi anasema Waziri mkuu Kassim Majaliwa ndie mtu wa mwisho kabisa watanzania hawapaswi kumuamini kwani ni muongo na hana aibu,Anadanganya na wala hakumbuki kuomba msamaha kwa uwongo wake.
Wakili Mwabukusi,Waziri mkuu ndie mtu wa kwanza alipaswa kujiuzulu kuhusu mambo ya bandari...
Hili ni swali fikirishi kwa wale wanaolinganisha siasa za muonekano yaani Facial morphology ya mtu na watu fulani.
Siasa za Facial morphology kuna wakati zilimfananisha Bernad Membe na Jakaya kikwete,Zilizua maneno mengi sana na propaganda nyingi sana ,Swali la Membe Bernard na Kikwete Jakaya...
Akiwa katika mjadala wa masuala ya mkataba wa serikali na Dubai ,Jenerali ulimwengu amesema bunge lililopo sasa ni bunge ambalo lipo lipo tu na halijulikani linamuwakilisha nani
Jenerali ulimwengu anasema bunge lenyewe sio halali kwani wale wabunge wanaongea ongea sijui wanaongea kwa niaba ya...
Tuache siasa kwenye mambo yaliyotungiwa sheria na bunge na ambayo mtu binafsi kama waziri mkuu hawezi kuyatengua kwa maneno ya jukwaani bila barua au muongozo
Matamko ya waziri mkuu kassim Majaliwa kariakoo kuwa TRA wafanye kazi kwa kauli zao za majukwaani bila barua au marekebisho ya sheria...
Sijaelewa
Jua la Dar es Salaam ndio hilo hilo Jua la Arusha, Je kuna Jua la Arusha na Dar es Salaam
Mwezi unaonekana Tandahimba ndio huo unaonekana Tanga au ni tofauti
Hili ni swali fyatu kwa watu wadadisi wa mambo.
Je, Jua linaloonekana Marekani ni tofauti na Jua la bara la Afrika? Kuna aina ngapi za Jua? Ni Jua moja kweli?
Je, mwezi unaonekana Saudi Arabia ndio huo huo mwezi unaonekana Afrika? Kuna Mwezi aina ngapi? Ni mwezi mmoja huo huo?
Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana
Mbunge Mama...
Gazeti la mwananchi lilishaandika makala juu yako wewe Luhanga Mpina mbona hujakanusha mpaka Leo kuhusu hizo ekari ulizopora Morogoro Katika kijiji cha dala
Mwezi February mwaka 2021 tarehe 24 taarifa zako zilimfikia Katibu mkuu wa wakati huo Dkt Bashiru na kuchapwa kwenye gazeti la mwananchi...
Akiwa mbele ya halaiki kubwa mjini Tunduma kwenye mkutano uliohudhuria na maelfu kwa maelfu ya watu Mbowe ameyaongea yafuatayo kwa kunukuu;
"Damu ya wana Tunduma itamlilia David Silinde daima kwa kusaliti CHADEMA na kuamua kumuamini mwanadamu (John Magufuli) badala ya kumuamini muumba wa mbingu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.