Swali fyatu: Je, kila nchi wana Mwezi na Jua tofauti?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
mun n sun.jpeg

Hili ni swali fyatu kwa watu wadadisi wa mambo.

Je, Jua linaloonekana Marekani ni tofauti na Jua la bara la Afrika? Kuna aina ngapi za Jua? Ni Jua moja kweli?

Je, mwezi unaonekana Saudi Arabia ndio huo huo mwezi unaonekana Afrika? Kuna Mwezi aina ngapi? Ni mwezi mmoja huo huo?
 
Swali fyatu! Funga tu shekhe au hujala dakku jokes
Sijaelewa

Jua la Dar es Salaam ndio hilo hilo Jua la Arusha, Je kuna Jua la Arusha na Dar es Salaam

Mwezi unaonekana Tandahimba ndio huo unaonekana Tanga au ni tofauti
 
Hili ni swali fyatu kwa watu wadadisi wa mambo

Je Jua linaloonekana Marekani ni tofauti na Jua la bara la Afrika, Kuna aina ngapi za Jua? Ni Jua moja kweli!!!!!!!!

Je mwezi unaonekana Saudi Arabia ndio huo huo mwezi unaonekana Afrika? Kuna Mwezi aina ngapi? Ni mwezi mmoja huo huo!!!!!!!
Ndio. Kuna mwaka Tanzania, kwa miezi mitatu mfululizo mwezi uligoma kuandama
 
Bongo tunachungulia mwezi Kwa macho wakati wengine wanauchungulia Kwa darubini so obviously wa darubini atatungulia kuuona mapema.
 
Sijaelewa

Jua la Dar es Salaam ndio hilo hilo Jua la Arusha, Je kuna Jua la Arusha na Dar es Salaam

Mwezi unaonekana Tandahimba ndio huo unaonekana Tanga au ni tofauti
Jua au Mwezi unaoonekana kwenu uko Songea mtaa wa Seedfarm ndo huohuo unaoonekana Naliendele Mtwara au Kakamega Kenya au Saudia
 
Kutofautiana masaa ...Jaalia kwa miaka ya zamani kila mji walikuwa wanaangalia mwezi na hata umbali kweny sehemu nyingine ni mkubwa kwa vile kwa sasa kuna mawasiliano na usafiri unaweza kufika hata kupewa taarifa ya mahali pengine popote duniani..

Mtu mmoja kutoka sehemu kwa zama hizo haweza kupeleka taarifa ya mwezi kwingine maana kuna umbali hata wa siku nzima kufika sehemu nyingine so watu walifuata kinachoonekana kweny mji wao na wote walikuwa sahihi.

Kwa hali yeyote watu wapo sawa .
 
Mbona wakati wa kufunga watu hawabishani kama sasa wakati wa kufungua
 
"Kwa kuwa dunia yote tuna jua moja na mwezi mmoja, kwa hiyo basi hata siku na masaa yafanane kwa nchi zote..." Alisikika mleta mada akitafakari kwa sauti
 
Mbona wakati wa kufunga watu hawabishani kama sasa wakati wa kufungua
Je wakati wa kifunga kuna ambatana na tukio lolote ambalo lina affect mpaka serikali, jamii na Dini zingine....wakati wakufunga hakuna mambo ya watu kutokwenda kazini nk ni mtu na funga yake tu, tunatofautiana sana tu kwenye kuanza kifunga hautosikia kelele kwasababu hai affect ishu zingine
 
Back
Top Bottom