Hapo zaman; wazee walikua wanaenda Tanga kukata mkonge mara baada ya wake zao kujifungua na kurudi baada ya miaka 2+. Hii ilikua ni moja ya njia ya uzazi wa mpango
Habari ya weekend wanajukwaa,
Napenda kuwauliza: Hivi kama unataka kuwa na idadi fulani ya watoto let say watatu/nne, ipi ni njia nzuri kuitumia baada ya kutimiza idadi hiyo ambayo itakuwa haina madhara kwa mke/mume? Ukizingitia ndo mwisho wa kuendelea kuzaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameajiriwa lakini wengi wameachwa nashangaa wizara haijatoa tamko juu yao labda wamewekwa reserve kwani waziri wa Tamisemi alisema bado nafasi 1048 hivi!![emoji31] [emoji31] [emoji6]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.