Ya chuo gani kwanza...
Angekuwa wa chuo kingine angepata ajira?Hiyo kama siyo TEOFILO sijui!
Utaua mtu kwa Pressure mkuuHehehee...Kama ni bair..Umepotea njia ndugu..Ajira utasubiri mpaka uzeeke...Hizo course zilianzishwa kisiasa tu..Ushaona wapi course haina kwenda field?..Kimsingi hiyo course ni tegemezi na haina tija sana kwenye serikali hii ya tanzania..Ushawai kuona wapi balozi kijana?..Ukiona balozi ujue utasikia alikuwa kamishna fulani mstaafu au mtumishi fulani..Ni mwendo wakupeana tu.Nashauri futa kabisa wazo lakuajiriwa jiajiri kwa jambo lingine utafanikiwa unless otherwise unataka ufe na stress.
DuuhHEHEHEE...KAMA NI BAIR..UMEPOTEA NJIA NDUGU..AJIRA UTASUBIRI MPAKA UZEEKE...HIZO COURSE ZILIANZISHWA KISIASA TU..USHAONA WAPI COURSE HAINA KWENDA FIELD?..KIMSINGI HIYO COURSE NI TEGEMEZI NA HAINA TIJA SANA KWENYE SERIKALI HII YA TANZANIA..USHAWAI KUONA WAPI BALOZI KIJANA?..UKIONA BALOZI UJUE UTASIKIA ALIKUWA KAMISHNA FULANI MSTAAFU AU MTUMISHI FULANI..NI MWENDO WAKUPEANA TU.NASHAURI FUTA KABISA WAZO LAKUAJIRIWA JIAJIRI KWA JAMBO LINGINE UTAFANIKIWA UNLESS OTHERWISE UNATAKA UFE NA STRESS.
Mkuu kama una shahada ya international relations nenda Arusha huko kuna mazungu yamekuja nchini kutalii, anza kuhusiana nayo ki-international. Si una maujuzi mkuu ? Usibweteke mkuu jiajiri.Kwa yeyote mwenye uwezo na nia ya kusaidia vijana wa kitanzania wenye shauku ya kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimbali hapa nchini anisaidie kupata ajira nina bachelor degree ya internationl relations.