Hivi walimu wa Postgraduate diploma ya Sayansi wamepangiwa Ajira sasa?

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Naomba kujua kama walimu waliokuwa wamemaliza postgraduate diploma in edhcation toka duce, muce, udsm, open etc kama wamepangiwa shule kipindi hiki....
 
Wamepangiwa kama kawa kwenye kundi la watu wa shahada ya kwanza na rafiki yangu kupangiwa Arusha, Mathematics and computer.
Yeye alisoma bachelor of computer science as first degree IFM then postgraduate duce.
Kala shavu.
 
Back
Top Bottom