queensaniyeko
Member
- Mar 6, 2017
- 10
- 2
selikali ilitangaza kuwa itaajiri waimu wapatao elfu 4,000 desember mwaka jana lakini kilichotokea wameweza kuajiri walimu elfu tatu na kuwaacha walimu takribani ya elfu moja wakiwa mtaani na wanasifa zote wanazozitaka, wapo pure graduate na post graduate kibao tumeachwa na tulipojalibukuwasiliana na helper desk moe wakatwambia mchakato wa kuhakiki bado unaendelea kwahiyo tusubiri, swali langu ni hivi kwanini selikali isinge ajiri walimu hao kwa hawamu moja au tatizo ni nini?