Recent content by sebeco

  1. S

    Marketing book.

    Kwa anaye itaji kitabu cha marketing,ni kizuri kwa mwanafunzi wa under graduate na master.
  2. S

    Benki ya posta wezi

    Kuna tukio moja la ajabu limetokea katika benki ya posta; kuna jamaa amekuta pesa yake wame withdraw katika akaunti yake akawauliza wakampa benki statement ambayo inaonyesha pesa zime tolewa katika benki fulani kupitia umoja switch cha ajabu hakuna transaction iliyo fanyika kwenye ile benki...
  3. S

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Maelezo yako ni mazuri,ila naomba tuwe kee na source mbalimbali ili tuweze kujifunza zaidi pia weka na issue za Africa na Tz kuhusu hayo maswala.
  4. S

    Jery Silaa na mkurugenzi wa manispaa ya Ilala someni hapa

    Kwanza kabisa napenda kuipongeza serikali ya Mh. J.K kwa kuweka utaratibu mzuri katika utendaji wa kazi katika Manispaa na jiji,Lakini katika utendaji wa kazi hizi kumekuwepo na changamoto nyingi kwa maana hiyo imenipasa kama mtanzania nionyeshe changamoto hizo ili wadau wengine watoe mawazo...
  5. S

    Nyumba iko sokoni

    Kama una nyumba katika mikoa/miji iliyo tajwa hapo basi tunaweza kabadilisha na nyumba ya musoma,call kwa maelezo zaidi
  6. S

    Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

    Sorry mkuu naomba unipe tofauti ya source ya habari(kama ulivyo sema) na medium of communication na jamii forum iko wapi kati ya hizo mbili. swali lingine ni kwamba naomba kifungu kinachosema jamii forum haitaki mtu aelekezwe na ni kwanini? kama sivyo futa kauli!
  7. S

    Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

    haya ndugu expert member
  8. S

    Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

    Hakuna uhusiano kati ya cv na uchapakazi,kama ingekuwa hivyo basi cv zilizo bongo tungekuwa matajiri sana.
  9. S

    Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

    posta mpya oppisite na ifm.
  10. S

    Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

    hapana si utani ndugu,nina maanisha nesha notes board ya makumbusho ya taifa ili upate ilo tangazo kuliko kusubili utumishi watoe
  11. S

    Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

    hapana si ujinga ndugu,nina maanisha nesha notes board ya makumbusho ya taifa ili upate ilo tangazo kuliko kusubili utumishi watoe
  12. S

    Nyumba iko sokoni

    Nyumba iko musoma mjini,tuna itaji kubadilishana na nyumba iliyopo:dar es salaam,arusha,mwanza,morogoro au moshi. Nyumba imegawanyika seheme mbili mbele na nyuma.nyumba ya mbele ina vyumba vinne vya kulala, sitting room,dinning,kitchen,toilet,veranda na parking ya gari. Nyumba ya nyuma ina...
  13. S

    Makumbusho ya taifa nafasi za kazi

    Soma notes board.
Back
Top Bottom