Jery Silaa na mkurugenzi wa manispaa ya Ilala someni hapa

Jery Silaa na mkurugenzi wa manispaa ya Ilala someni hapa

sebeco

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Kwanza kabisa napenda kuipongeza serikali ya Mh. J.K kwa kuweka utaratibu mzuri katika utendaji wa kazi katika Manispaa na jiji,Lakini katika utendaji wa kazi hizi kumekuwepo na changamoto nyingi kwa maana hiyo imenipasa kama mtanzania nionyeshe changamoto hizo ili wadau wengine watoe mawazo yao.Changamoto hizo ni kama ifuatavyo

  • Mtumishi akitaka kuomba uhamisho kwa sababu za msingi ni lazima atoe FEDHA(rushwa) anakotaka kuamia na anakotoka
  • Ili Afisa apangiwe kazi fulani au mradi ni lazima atoe rushwa kwa msimamizi wake wa kazi
  • Kuna baadhi wa watumishi mda wao wa kustaafu umeshafika lakini wana fogi iliwaendelee kubaki kazini.
  • Kuna wakuu wa vitengo wana kula posho za wafanya kazi za kila mwezi.(MAENDELEO YA JAMII,USTAWI WA JAMII).
 
Back
Top Bottom