Recent content by Sebago

  1. Sebago

    Nimefanikiwa kufungua online radio

    Congratulations mkuu
  2. Sebago

    Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

    Toyota Isis, Toyota Ipsum na Toyota Gaia, zote hizi ni 7 seater
  3. Sebago

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Nawasalimu ndugu zangu, nataka kuagiza hii adjustable table ni site gani naweza kutumia kuagiza mfano Alibaba au Aliexpress, wenye uzoefu tafadhali. Bei yake inaanzia $140
  4. Sebago

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Kulipia lazima ntalipia tu, kwangu mie hii tool ni mkombozi kwenye utafutaji wangu wa mkate wa kila siku..
  5. Sebago

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Wakuu tushapigwa pini, wanataka tuanze kulipia.... $20 kwa mwezi
  6. Sebago

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Wadau naombeni maoni yenu, nataka niishi na hii, natanguliza shukrani. LG Inch 43
  7. Sebago

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Quillbot ni software ambayo inafanya multiple tasks kama vile paraphrasing, plagiarism, summarizing na zinginezo, kwa sie academic writers hapa ndo nyumbani, hasahasa ukiwa na premium package ambayo ni affordable kwa watanzania tulio wengi.
  8. Sebago

    Kariakoo siyo waaminifu kwenye biashara ya simu

    Kariakoo sio sehemu salama? Mbona mnatuchanganya sie wa mikoani...
  9. Sebago

    Video na Picha za Maombolezo ya kifo cha Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Naomba kujulishwa tafadhali, ni kwa nini magari mengi kwenye msafara yanatumia plate bumber za kawaida..... Mfano T .... DPE..... Asante
  10. Sebago

    GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Amekula jeans alonunua karume juzi..
  11. Sebago

    GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Ukisema kushuka kwa Diplomasia ni uongo, Mhe Magufuli ameingia tu madarakani akapewa Uenyekiti wa EAC, ndio ambavyo watu wanadanganywa..??
  12. Sebago

    Ajali Hii imegeuka kuwa jambo lingine kabisa

    Leo nmeukuta Uzi wa moto kabisa..... Hahahah
  13. Sebago

    Hivi ni kweli ofisi za NIDA zimefungwa?

    Ofisi hazifanyi kazi kutokana na janga la Corona, niliona hili tangazo kwenye moja ya halmashauri
  14. Sebago

    Wazungu itawauma sana kushindwa fikra na Muafrika

    Mzalendo iq1 ni Counseling na sio Canceling, mlienda British cancel na Shilole....??? 🤣🤣
Back
Top Bottom