Which is your most favorate saying? Ni upi msemo wako pendwa?

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
''Never Say Never''

Moja kati ya msemo wangu niliodumu nao kwa muda sana toka nikiwa mdogo...msemo wa Never say Never ni msemo niliusikia mara ya kwanza kutoka kwnye Movie ya Bad Company kupitia zile Kaseti za VHs. Jamaa nadhani alikua anaitwa Michael kama sikosei walipomaliza mission nzinto sana na yule mzee wake basi Michael akabahatika kuoa Binti mrembo sana na wakati wa harusi Michael alimrushia ua la harusi huyo mzee waliyefanya nae Mission nzito na kumtakia maneneo hayo matatu.

Hey.....''Neve say Never''

Misemo mingine ni kama:
  • There is always a light at the end of tunnel
  • Don't undermine the small beginnings
  • We rise by lifting others
  • In laziness it won't, trust me
  • Pain today pride tomorrow
Ni ipi misemo powerful kwako unayoipenda zaidi?

What's yours?
 
“Elimu ni silaha yenye nguvu kuliko zote unayoweza kuitumia kubadilisha dunia.” - Nelson Mandela

“Mtu anapofanya kile anachokiona kuwa wajibu wake kwa watu wake na nchi yake, mtu huyo anaweza kupumzika kwa amani” – Nelson Mandela

“Watu wenye ujasiri hawaogopi kusamehe kwa ajili ya amani” - Nelson Mandela

"Chuki hufunga akili. Inazuia ubunifu wowote wa mbinu. Viongozi hawana nafasi ya kuchukia"- Nelson Mandela

“If they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.” #NelsonMandela
 
The frustrations must be killing you - Jonathan Krantz aka General, Prison Break

Acceptance is very important - Agent Mahone, Prison Break
 
mandella,

Kura yangu siyo haki yangu - My vote is not my right. huu unahusu kutoheshimiwa kura yangu kwenye uchaguzi.
Hata hivyo kwani uhai ni wa nani! - Whose life is it anyway! msemo huu unahusu Corona unakukumbusha ujijali mwenyewe usifuate ya watu wengine.
 
Back
Top Bottom