Recent content by Seba Kapela

  1. S

    Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

    Kaka unajua maana ya ndoa?... na ilo tendo linaitwa TENDO LA NDOA tafsir yake ni kuwa tendo hilo ndio nguzo kuu na hayo mengine ndani ya ndoa ni ziada, cha zaidi naunga mkono wa mumu ww unamuendekeza!
  2. S

    Natafuta mume

    Am qualifying plz just PM
  3. S

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Na Standard Charted kama waligoma kutoa izo taarifa na ziliombwa na mamlaka niliyokutajia basi kaa ukielewa kuwa kulikuwa na mamlaka zaid ya hyo iliyozuia kutokutolewa izo taarifa nadhani umenielewa.....maana kuna mamlaka inayozid mamlaka yote na hakuna mtu wa kuulza why this!!
  4. S

    Mabankers Tusaidieni: Je, Commissioner General wa TRA ana Mamlaka ya Disclosure Details za Account ya mtu?

    Pascal,..ngoja nikuweke sawa kwa issue yako uliyoulza yamkini hata wanajamvi pia umewachanganya kidogo..Benki yeyote ya kibiashara ikiombwa documents na baadh ya taasisi za serikali kama TRA, POLICE NOTICE, OSHA, BoT, Mahakama benki husika huwa kunakitengo cha legal department! Na mara nying...
  5. S

    Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Kufungwa kwa Commercial Bank yeyote, taratibu zipo wazi kabsa under Central bank Act...kile kilichotokea ni presidential order ya kuzuia BoT asitoe msaada wa kifedha kwa benki yeyote ambayo inasua kimtaji,ili hali miongoni mwa kazi za Central Benks duniani kote...nikutoa mikopo kwenye izo...
  6. S

    Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume

    Njoo PM vigezo vipo
  7. S

    Yuko wapi Makonda?

    Reply ya kufunga mwaka aiseee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. S

    Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

    Ujue ni ujinga tu na upumbaf wa watu wachache kuwaharibia wengi...siku izi mambo kidigital just mawasiliano then mzigo unakufikia sema kupitia expansion joint huo wengne wanapiga deal.....mtu nipo Tanzania naagiza simu ya Lenovo naipata sembuse vifaranga, akichomwa moto huyo akili itamkaa sawa...
  9. S

    NAOMBA USHAURI JUU YA MIHEKO YANGU KIMWILI HASA KWENYE TENDO LA NDOA

    Ivi waelewa kufanya sex kunatokana na ubongo kuuweka ktk mazingra hayo? Kwamaana umeruhusu akili kuwaza sex most of time, tiba pekee ya huo ugonjwa ebu jaribu kuhamisha mawazo yako kwenye kitu au shughuli nyingne utaona mihemko yako imekata kabsaa, mfano ukiwa na kitu ambacho daily lazma...
  10. S

    Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

    Waweza poteza muda kumjadili huyo kweli, anamadhara gani kwenye nchi labda, hata ile kata anayoishi? Ni jamaa mmoja tu kaamua kupotezea watanzania muda wao
  11. S

    Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

    Hahahaha...uolewaji ni responsibility na accountability, na kwenye mahusiano kile unachokiona kwako kidogo kwa mwenzio cha wezakuwa kikubwa saana, na chaweza leta kutofautiana kiasi cha kuachana kabsaa.
  12. S

    TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Dada umeeleza kwa uchungu saana hadi huruma, kwenye mahusiano iko ivi huyo bwana ako angetangulia kuleta uzi hapa akajaribu kueleza mapunguf yako raia wa JF pia wengi tu wange mshauri aachane na ww hata kesho,...bt ww umeanza na umetoa mapunguf ya mwenzio it's fine, nn cha kufanya then angalia...
  13. S

    Usagaji: Watanzania tumefikia hapa?

    [emoji15] [emoji15] real ?
  14. S

    Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

    Yeah Sexless: Hyo issue nishaiona kwa mtu kabsaa inafanana na issue yako mpaka dakika hii kila mtu anaishi kivyake so plz on my view hata kitendo cha ww kusemea JF moyo wako umekuwa HURU na Mungu kaona...kikubwa just tumia ujanja wote izo gharama za hospital daily zisiendelee tena hope u'r...
  15. S

    Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

    Pole saana na confession yako itakuweka huru bt shida ya sisi watu wa bara hili ukweli huwa hatutaki kuuskia, na possibly ukimweleza ukweli mmeo atafikiria mambo mengi mpka akachukie yamkin akakuwazia ulikuwa malaya kumbe just ilitokea tu as accident...au yy itampa mawazo kuish na mtu asieweza...
Back
Top Bottom