Yuko wapi Makonda?

Yuko wapi Makonda?

Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
Labda katumwa kufanya maandalizi ya kurejea kwa TL nchini.
 
Ni kitambo kimepita bila kumsikia ama kusikia taarifa kumhusu Mkuu wetu wa mkoa Ndugu. Makonda.

Hata leo Mkuu wa nchi wakati anarejea kutokea "Nchini" Zanzibar, amepokelewa na Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

Kwa wenye kufahamu alipo Mkuu wetu wa mkoa; nawaomba mnijuze.

Mapendo,
TANMO.
Shssssssh utamuamsha coco
 
Desemba hii Mkuu wetu wa Mkoa amekuwa kimya sana.

Wafuatiliaji wa mambo wamenidokeza kuwa hata Sherehe za Uhuru hakuambatana na Mheshimiwa Rais kama ilivyo desturi ya viongozi wetu hawa Wapendwa kupeana sapoti.

U wapi mkuu wangu wa Mkoa Makonda?
 
Kama Mkuu wa Mkoa Kiongozi yuko busy anajipanga kuhamia Dodoma.
 
Akionekana shida asipoonekana "yuko wapi". Kama umem-miss kamuangalie kwenye mabango ya ujenzi wa ofisi na nyumba za walimu yapo maeneo mengi mjini.
 
Hivi amepata nafasi yoyote ndani ya ccm ? Sijasikia
 
Back
Top Bottom