NAOMBA USHAURI JUU YA MIHEKO YANGU KIMWILI HASA KWENYE TENDO LA NDOA

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Habar za majukumu wakuu, mm n kijana wa miaka 25 jinsia ya kiume nimekuwa nikisumbuliwa na (ashiki/shauku/mihemko) ya kufanya mapenz mara kwa mara, baada ya kuachana na michepuko na kuamua kuutulia kwajili ya kuingia kwenye ndoa , niliamua kumchagua mwanamke mmoja wa maisha yangu lengo ni awe mke na mama watoto wangu, yatupata miaka mitatu sasa ktk mahusiano yetu ila tatzo kubwa linalonisibu kwa sasa ni kuwa na hitajio la kufanya mapenzi na huyu mke wang mtarajiwa mara kwa mara jambo ambalo naona fika yeye halimfurahishi inafika kipind anaona ni kero, mara anatoa visingizio vingi vya kuchoka na kuumwa ila baada ya kutafakar sana nikagundua hitajio langu la mara kwa mara sex kwako ni kikwazo mana kwa wiki nahtaji kufanya mapenzi mara nne. Ahsanteen niko tayar kusikiliza ushaur ili niepukane na swala la shauku ya kufanya mapenzi mara kwa mara.
 
Tafuta unayeendana naye kaka. Wapo wanaotaka Mara tatu kwa siku na wanawwza kuhimili mikiki mikiki. Au oa mke wa pili na wa tatu na wanne kama upo kwenye imani inayoruhusu. Mke mmoja hatoshi hilo lipo wazi hivyo hilo sio tatizo Bali ndivyo tulivyo wanaume. Wengine ni matatizo tu mdo ana anatosheka na mke mmoja. Ni hayo
 
Ivi waelewa kufanya sex kunatokana na ubongo kuuweka ktk mazingra hayo? Kwamaana umeruhusu akili kuwaza sex most of time, tiba pekee ya huo ugonjwa ebu jaribu kuhamisha mawazo yako kwenye kitu au shughuli nyingne utaona mihemko yako imekata kabsaa, mfano ukiwa na kitu ambacho daily lazma ukiwazie kukifanya mawazo yote yatahamia huko....ushawai skia mtu anakonda kisa ana madeni meng kwa watu au benk sababu inayomfanya kukonda ni yale mawazo juu ya madeni yake. Usiendekeze utamfanya mwenzio akufikilie vibaya bure na yamkin ni feelings za kila wakati uzipatazo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom