Recent content by Seaman88

  1. Seaman88

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    huo umri ni waume za watu
  2. Seaman88

    Makonda ni Magufuli ajaye

    Sasa ni miaka 5 imeshapita toka nizungumzie suala hili kua Makonda ni Magufuli ajaye, wengi mlinipinga kwa kejeli. Sasa ni miaka 5 bado nawaambia Makonda ni Magufuli wa sasa kwamba Makonda ana msimamo kama Rais magufuli anasimamia kauli zake sio kigeugei hakika ni kiongozi,kiongozi anazaliwa...
  3. Seaman88

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa waalimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Seaman88

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kama uko mwanza njoo nikuuzie sim hiyo bei rahisi naiuza kwa sababu nimenunua ingine.Hamjui fundi camera nzuri nakupa na betry ya ziada ina uwezo wa kukaa na chaji zaid ya siku mbili kwa matumizi ya kawaida.0714644512 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Seaman88

    Njoo Tanga Jiji aje Mwanza Jiji..Msingi

    Mwalim wa shule ya msingi yupo Tanga jiji anahitaji kuhamia Mwanza Jiji njoo PM kwa maelezo zaidi
  6. Seaman88

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kwa aliyeko Mwanza Jiji anayehitaji kuja Tanga Shule ya msingi Makorora,Ani PM tupeane maelekezo.Ahsante
  7. Seaman88

    Wauza smartphone tukutane hapa

    NINA 50000 mweny xmart yeyto naomba aniuzie
  8. Seaman88

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nahitaj xmart aina yeyot nina 50000
  9. Seaman88

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wadau naomba kuuliza..huvi hawa jamaa wenye telegram charnels wanasema wana fixed matches zinaukwel wowote? wanasema kujiunga na magroup yao ni pesa.
  10. Seaman88

    SUMATRA kitengo cha mabaharia ni jipu

    Nawasilisha malalamiko yangu kwa uchungu mkubwa, kwa heshma na taadhima naziomba mamlaka za juu zinazojihisisha na SUMATRA kitenga cha mabaharia wamulike kwa jicho la pili kitengo hiki kwani ni kero kwa waohitaji huduma katika ofisi hizi. Wafanyakazi hasa wale wa ngazi za chini kwenye eneo...
  11. Seaman88

    Mlima Kilimanjaro kama ulivyoonekana leo asubuhi

    hiyo picha uliipiga jana asubuhi?
  12. Seaman88

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo tanga jiji aje hai,moshi au siha idara ya msingi
  13. Seaman88

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo tanga jiji aje moshi au hai...idara ya msingi
  14. Seaman88

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo tanga jiji nije kilimanjaro mkuu
Back
Top Bottom