Sasa ni miaka 5 imeshapita toka nizungumzie suala hili kua Makonda ni Magufuli ajaye, wengi mlinipinga kwa kejeli.
Sasa ni miaka 5 bado nawaambia Makonda ni Magufuli wa sasa kwamba Makonda ana msimamo kama Rais magufuli anasimamia kauli zake sio kigeugei hakika ni kiongozi,kiongozi anazaliwa kuongoza sio kuiga uongozi.Kama wewe unaendelea kubisha ni shauri yako.
Kiwango cha ukuu wa mkoa hakimtoshi Makonda,Mh Makonda alipaswa kua kwenye ngazi fulani hivi ya kufanya mamuzi magumu ila ngoja kwanza Mh Magufi aamue juu yke coz he is genious..God bless sir Makonda.
Sent using
Jamii Forums mobile app