Recent content by Seagate

  1. S

    Mtanzania Simbu, ashika nafasi ya 5 mbio za Marathon Uingereza, Mkenya aongoza

    Hongera Simbu hakika umetutendea kitu adimu watanzania sasa chama cha riadhaa mpeni nguvu kijana ili aone thamani aliyoleta ni kubwa
  2. S

    TFF Kuna tatizo gani?

    Hii tff hakuna kitu yaani tutamkumbuka Tenga heri angetua Wambura
  3. S

    DIT: Bangi inavutwa sana eneo la minara karibu na uwanja

    Kazi ipo wasomi wanatafuta nguvu ya kusoma kwa kuvuta bangi hapana hii sio sawa kabisa
  4. S

    Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

    Kikubwa mchechu piga kazi kama huo mshahara mkubwa mbona wengine hamuwasemi
  5. S

    Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

    Kazi na ianze sasa wametutesa tunapanda gari kutoka gongo la mboto linaishia mnazi mmoja wao wanakula kilaini hadi ferry
  6. S

    Mashine ya kutotolesha mayai 300 inauzwa

    Aina gani mashine hiyo weka specification zake ikiwezekana na bei
  7. S

    Mlinzi wa Lowassa, Aloyce Tendewa atimuliwa kazi...

    Ngoja apumzike kwa EL
  8. S

    Wachagga na Serikali ya Magufuli

    Mbona mlipokuwa mnateuliwa mwanzo hakuna aliyesema sasa kutokupata nafasi imekuwa shida mbona TPA mlipokuwa mnapora tulikuwa kimya tulieni mnyolewe
  9. S

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    IMEI zenu tukisajiri tcra hakuna kitu je simu zenu ndio mnadhihirisha kuwa ni famba sasa kiama kinakuja tcra wanakuja mtajua hii ndio tzeee ya magufuli
  10. S

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Simu zenu zina imei lakini tukisajiri hatupati kitu tcra kuhusu kuhakiki simu
  11. S

    Mkurugenzi Mkuu AICC Bwana Elishilia D Kaaya na maamuzi mabovu

    Jipu hilo litumbuliwe kama walichukua uamuzi usio na tija
  12. S

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Wananchi wamejitokeza wachache sana kupiga kura sijui tatizo nini au ndio mahaba yameisha kwa lowasa kushindwa
Back
Top Bottom