zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Leo katika zunguka zunguka yangu nikakatiza chuo cha elimu ya biashara kujionea maajabu ya dunia,
.....baada ya hapo nikaingia kwa jirani yao pale dar es salaam institute of technology,nikapita mpka illipo minara ya simu huko niliwakuta vijana wako kifua wakivuta bangi na kupiga msuli,nikashangaaaaaaaa sanaaaaaaa,yani chuo ambacho nilitegemea wanafunzi wanao maliza hapo wawe wabunifu wa mifumo mbalimbali ili kutatua matatizo yanayoizunguka jamii wao ndo kwanza wanasoma kwa kuvuta bange.
Sipo hapa kukisema vibaya taasisi hiyo hapana,ila baadhi ya wanafunzi wenu wanavuta bange sana ,mpaka Imekua kero kwa wanafunzi wanaojisomea upande wa cbe unaopakana na maeneo hayo.
Hata sasa hivi ukienda utawakuta vijana wanaula mmea huo uliojizolea umaarufu nchini jamaica na mwimbaji Peter tosh kuusifia katika nyimbo yake itwayo LEGALIZE IT.
Ni Zubedayo_mchuzi mzee wa kutembea umbali mrefu,leo nimetembea kutoka keko mpka akiba.hapa si mbali sana nimetumia kama Nusu saa hivi,ntaweka kambi vyuo hivi viwili mpka mwezi huu uishe