Recent content by sea emperor

  1. S

    JamiiForums Tanzania TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

    Hivi nikijiita kinyesi nani atakataa kama TCRS ndiyo wamepewa jukumu la kubatiza watu majina watuweke wazi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Rais Magufuli by Gado

    Mimi nina akili kumzidi unasemje?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Mbona unatokwa povu kama umemeza mkorogo wa omo?. Usiyependa amani ni shetani huna ubinadamu wala ndani ya ccm hatuna kilaza na mbulula kama wewe .
  4. S

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Next election majina ya wabunge wa namna hii hayarudi baada ya kula za maoni. Wanaharibu sifa ya chama sisi tunataka amani na maridhiano wao wanapandikiza mbegu ya chuki. Hayo ni mawazo yake binafsi chama hakikumtuma kuropoka hayo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    Mkuu asante sana. Naomba kujua tofauti kati ya game reserve na national park.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio ndege za Magufuli

    We ni mmoja wa viongozi waomba lift nini mbona unatokwa povu kama umemeza omo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Ukishaelewa tafasiri halisi ya mwanasiasa huumizi kichwa 95percent ya politics si kweli.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bikira za Swaziland

    Hako ka kwanza kenye kivazi cha bluu kanaonekana katamuu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Anza wewe kama mfano siyo kubwabwaja tu. Kaanga karanga uuze halafu utunze familia na kusomesha watoto. Usijifanye unajua mipangilio kumbe ni zero brain.
  10. S

    JamiiForums Tanzania FID Q sumu ngoma jipya

    Ni kweli kiswahili hasa nahau zinahitaji ufahamu mi nimemuelewa; kiswahili ni kigumu si rahisi kama wengi wanavyofikiri. Wimbo una ujumbe mzito na maana kubwa uzuri Wa Ngosha huwa anaimba maisha halisi siyo kama wabana pua kila siku mapenzi. Mara utawasikia ooh usiku silali lakini nakuota. Ajabu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Misanya Bingi sasa ni Daktari wa Falsafa (PhD)

    Milele Amina
Back
Top Bottom