Recent content by Scrum Master

  1. Scrum Master

    Aliefanikiwa kutatua tatizo la wadudu walambao darini anisaidie

    hili sasa ni tatizo sana. hizi mbao wanatuuzia wanasema ni treated kumbe hamna kitu. Mimi pia ni mhanga wa hili, nitapaka oil chafu kama mlivyoshauri.
  2. Scrum Master

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Umeandika mengi ila hiyo paragraph ya mwisho sijakuelewa. Wanatakiwa kupigwa Ban kwanini?
  3. Scrum Master

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Shindwa pepo, walutheri hatuna kitu kama hicho.
  4. Scrum Master

    Ushauri: Je, ajenge nyumba au aweke pesa fixed deposit CRDB kwa riba ya 7%?

    Aweke fixed, kama tayari ana nyumba ya kuishi. Afikirie pia kuchukua gvt bond za BOT return yake ni kubwa zaidi.
  5. Scrum Master

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Kama ni hii basi huitwa pia Eucalyptus.
  6. Scrum Master

    Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Hapa umemaliza kila kitu
  7. Scrum Master

    Je, mke kwanza au wazazi kwanza?

    Mama ndio kila kitu. Mke akizingua hata kesho unabadili ila mama habadiliki. So ukiwa na akili timamu utajua nani zaidi hapo.
  8. Scrum Master

    Hatua ya msingi

    Kwa vyovyote vile lazma uandae 5M mpaka 7M++ kama upo Dar.
  9. Scrum Master

    Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

    Hii gundi unaongelea gundi gani mkuu? Hapo uliposema kwa nje ili uskim vizuri itumike gundi na wall putty.
  10. Scrum Master

    Chokaa, gypsum powder, wallputy na white cement kwa ajili ya kusafisha ukuta

    Hivi wall putty inafaa pia kuskim gypsum boards?
  11. Scrum Master

    Chokaa, gypsum powder, wallputy na white cement kwa ajili ya kusafisha ukuta

    Ukute pia plaster yake ilikua haijanyooka sana na ilikua so rough kwahyo kwnye wallputty ikabd wa skim mark nene zaidi ya kawaida.
Back
Top Bottom