Recent content by scoles

  1. S

    Tanzania haimo katika orodha ya nchi 10 zinazoongoza kwa wasomi duniani

    Mkuu wetu wa kambi ya upinzani bungeni CV yake haionyeshi Elimu ya sekondari alisoma wapi!!
  2. S

    RIPOTI MAALUM Ufisadi wa kutisha TFF-4

    Wewe mda wote unaleta mambo ya siasa za Chadema na CCM hivi huna vituvingine vya kuchangamsha ubongo wako? Wewe unashangaa mambo wanayofanya TFF ila kama Mbowe atafanyiwa uchunguzi wa matumizi ya Fedha za ruzuku ambazo ni kodi za wananchi, Wizi na utafunaji wake wa fedha hizo za ruzuku kwa muda...
  3. S

    Bombardier; Moja ya usafiri Bora kabisa wa anga Tanzania...

    Katika abiria wapenzi wakubwa wa bombardier ni Zito Kabwe. Zito huyuhuyu ana zikashifu. Akisha tafuna Korosho na Juice anatoa kitabu chake anaanza kusoma. Safari Kigoma.
  4. S

    Imethibitika: Chanzo cha ajali bus Lucky Vincent ni mwendo kasi

    Yaani ata msiba unafanya siasa? Hao madereva wanaopata ajali kwenye barabara za lami nao wanasababishiwa na CCM?
  5. S

    Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Waliposema upinzani imeishiwa hoja nilijua ni propaganda nyeusi. Kwajinsi wapinzaniwasasawanavyo toa hoja zao naamini uu utakua mdololo wa siasa za upinzani nchini. Na hili si jambo la kufurahia kwakuwa Serikali inakosa changamoto za ukweli ili ijitathmini na kujikosoa. Ingekuwa tungwa...
  6. S

    Makonda atakuwepo leo, kesho na Ikiwezekana hata milele

    Makonda hujashindwa vita, nakushauri kwasasa usishambulie, jifiche kwenye Ngome. Gwajimaamejificha nyuma ya raia, kwahiyo ukishambulia uta uwa raia na lawama zitarudi kwako. Kitaalamu Gwajimaamefanya human shield kajificha kwenye watu. Kibaya zaidi Gwajima amekalia eneo lako muhimu...
  7. S

    Ruge jibu: Kwanini ulidanganya muda aliotumia Makonda studio?

    Unatia aibu kufuatilia mamboya watu kwa kiasi hicho. kama waliofanyiwafujo wakiona inafaa watafungua kesi. Ila nahisi hakuna kesi, kwakuwa urafiki wa hao jamaa niwamuda mrefu kuliko hao wanao wachochea simuda mrefu Makonda na clouds watafanya kazi tena.
  8. S

    Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Yaani kwaakili yako clouds wanahitaji kiki? Clouds ndio habari ya mjini kitambosana.
  9. S

    Lowassa hakukosa urais ila sisi ndio tumekosa rais

    Ata ukitokea leo uchaguzi maMvi hapati kura yangu. Huwezi fuga panya kwenye debe la unga.
  10. S

    Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

    Mawingu wana Unyumbufu(Flexibility) mkubwa, wataendelea kufanyakazi na Makonda na maisha yataendelea. kamakweli watafuata profesionalism kitu ambacho boss Luge anacho, atakwenyehilisakata amezungumzia. Hawana namna wasifanyekazi na Makonda. Zaidi hawa watu wamefahamiana kwa miaka mingi...
  11. S

    Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

    Msije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
  12. S

    Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Flyover ya Ubungo, amtaka RC Paul Makonda achape kazi

    Sisi wananchi tunamuunga mkono na tutalionyesha hilo 2020 asubui tu. Unga umemaliza vijanawetu alafu leo mnataka tuwaunge mkono. JPM endelea kuwapuuza.
Back
Top Bottom