marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Lowassa uko wapi baba
swal jiulze n panya wa aina ganAta ukitokea leo uchaguzi maMvi hapati kura yangu. Huwezi fuga panya kwenye debe la unga.
Tuwe wakweli uchaguzi ukiwa leo Magu atashinda kwa kishindo. Naomba watafiti watafute dataAta ukitokea leo uchaguzi maMvi hapati kura yangu. Huwezi fuga panya kwenye debe la unga.
Lowassa uko wapi baba
Raisi wa nyumbani kwako wewe pamoja na mkeo,kwa Tanzania raisi ni mmoja tu JPM basi.Mimi huwa najua Lowassa ndio RAIS wangu na hiyo mpangusa makamasi Mimi simjui.
Swissme
Tizamahata Malinzi ni raisLowassa uko wapi baba
Lowassa au bwana yule mfuta kamasi kwa mkono kila baada ya sekunde kumi kisha ushika mikono ya watanzania au.Raisi wa nyumbani kwako wewe pamoja na mkeo,kwa Tanzania raisi ni mmoja tu JPM basi.
kun clip y lissu alisem kwa wasom hawawez kukubali em angalia ka umeigonga vizur maths na hukukimbia civcs au history UNGEJUA KUNDI LA KUMWEKA mzeeTuwe wakweli uchaguzi ukiwa leo Magu atashinda kwa kishindo. Naomba watafiti watafute data
Raisi wa nyumbani kwako wewe pamoja na mkeo,kwa Tanzania raisi ni mmoja tu JPM basi.
Ila unafuga fisi kwenye zizi la mbuzi sio?Ata ukitokea leo uchaguzi maMvi hapati kura yangu. Huwezi fuga panya kwenye debe la unga.